Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?

Jamuhuri ya Afrika ya Kusini (SADC Super Power) walitusaidia wakati wa ajali ya MV Bukoba. Mbona tumewasahau katika janga hili la Mlima Kilimanjaro?

Watumie JWT..kwani wanakazi gani
Kwani wakati wa ajali ya MV Bukoba kulikuwa hakuna hawa ndugu zetu wa JWT?

Afrika ya Kusini wapo advanced kidogo katika utaalam pamoja na vifaa wanaweza kutusaidia kama wana-SADC wenzao.
 
Naona hii misitu duniani inawaka moto tu. Na hapo kilimani baridi yote iliokuwepo sielewi. Isijekuwa chini ya ardhi kunafukuta! Huu mlima uko monitored vizuri lakini au kuna haja ya kuwaleta wanajiolojia kuja kuutizama tena? Mana mara siku zake zinakaribia.

Majirani zetu wanachekelea mlima kuwaka moto, si rahisi kusema kusaidia labda Tour operators wao waende serikalini kwao wawaambie watoe msaada.
Mpaka kufikia 2080 hii misitu itakuwa katika hali gani mkuu?
 
Hakika Mungu aingilie kati ndio ponapona yetu
Na hivi ule mtetemeko ambao utatenganisha bara la Afrika ulotukia majuzi juzi apo, hakika ardhi inafukuta mzee. Wasiwasi wangu upo kilimani bado, dormant lakini siku ukicharuka, huenda karibia Tanzania nzima ikapata habari yake
 
Wasiwasi wangu upo kilimani bado, dormant lakini siku ukicharuka, huenda karibia Tanzania nzima ikapata habari yake
Hususan wale ndugu zetu wanaokaa pembezoni na mlima ule aisee ndio ninawaonea sana huruma
 
huwa nawafikiria sana, sijui kama hata wana mipango yoyote ya just in case Kili ikiamua kucheuka
Hichi kumbe mwakiwazaga pia.... Mimi nimeplan kuanzia next year niandae virago vyangu nilijikuta nimefika huku angali nilishasema sitofika
 
Hichi kumbe mwakiwazaga pia.... Mimi nimeplan kuanzia next year niandae virago vyangu nilijikuta nimefika huku angali nilishasema sitofika
usiogope, for sure dalili zikianza tahadhari itatolewa mapema. sema usiombe unakaribia kileleni afu ndio mlima unatema cheche 😀 ushakufa kabla hujafa unakuwa
 
Sio MV Bukoba tu! Hata Space Islander Zanzibar walikuwa the first in 4 hour's kufika Dar es Salaam International Airport.

Much love RSA ♥️
 
Back
Top Bottom