Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Watumie JWT..kwani wanakazi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakati wa ajali ya MV Bukoba kulikuwa hakuna hawa ndugu zetu wa JWT?Watumie JWT..kwani wanakazi gani
Sina comment juu ya hili mkuuwaligundua misaada ya Tetemeko la Bukoba ilipigwa ndiyo maana wamekua na hofu mnoo
Bado ninangoja mkuu mpaka sasaNgoja wataalam waje kutupa ufafanuzi mkuu.
Mpaka kufikia 2080 hii misitu itakuwa katika hali gani mkuu?Naona hii misitu duniani inawaka moto tu. Na hapo kilimani baridi yote iliokuwepo sielewi. Isijekuwa chini ya ardhi kunafukuta! Huu mlima uko monitored vizuri lakini au kuna haja ya kuwaleta wanajiolojia kuja kuutizama tena? Mana mara siku zake zinakaribia.
Majirani zetu wanachekelea mlima kuwaka moto, si rahisi kusema kusaidia labda Tour operators wao waende serikalini kwao wawaambie watoe msaada.
Wanakawaida ya kutangaza kuwa mlima huo upo kwao 😀Mkuu, hao tour operators wa nchi jirani wanapata hasara gani kwa mlima Kilimanjaro kuwaka moto mpaka waishawishi serikali yao kuja kutoa msaada kwetu?
Hali hii ya kuungua na Waziri anapiga picha anafunga nyuzi huku akicheka sijui itakuaje kwa kweli.... Barafu ya mlima Kili nayo imepungua kiwango kikubwa.Mpaka kufikia 2080 hii misitu itakuwa katika hali gani mkuu?
Daaah aisee, hii ni hatari sana ndugu yangu...Hali hii ya kuungua na Waziri anapiga picha anafunga nyuzi huku akicheka sijui itakuaje kwa kweli
Imepunguza sana mkuu labda issues ni global warmingBarafu ya mlima Kili nayo imepungua kiwango kikubwa.
Wanasema Global warming ndio....Imepunguza sana mkuu labda issues ni global warming
Hakika Mungu aingilie kati ndio ponapona yetuWanasema Global warming ndio....
Na hivi ule mtetemeko ambao utatenganisha bara la Afrika ulotukia majuzi juzi apo, hakika ardhi inafukuta mzee. Wasiwasi wangu upo kilimani bado, dormant lakini siku ukicharuka, huenda karibia Tanzania nzima ikapata habari yakeHakika Mungu aingilie kati ndio ponapona yetu
Doooh hii ni zaidi ya hatari...Na hivi ule mtetemeko ambao utatenganisha bara la Afrika ulotukia majuzi juzi apo, hakika ardhi inafukuta mzee.
Hususan wale ndugu zetu wanaokaa pembezoni na mlima ule aisee ndio ninawaonea sana hurumaWasiwasi wangu upo kilimani bado, dormant lakini siku ukicharuka, huenda karibia Tanzania nzima ikapata habari yake
huwa nawafikiria sana, sijui kama hata wana mipango yoyote ya just in case Kili ikiamua kucheukaHususan wale ndugu zetu wanaokaa pembezoni na mlima ule aisee ndio ninawaonea sana huruma
Hichi kumbe mwakiwazaga pia.... Mimi nimeplan kuanzia next year niandae virago vyangu nilijikuta nimefika huku angali nilishasema sitofikahuwa nawafikiria sana, sijui kama hata wana mipango yoyote ya just in case Kili ikiamua kucheuka
usiogope, for sure dalili zikianza tahadhari itatolewa mapema. sema usiombe unakaribia kileleni afu ndio mlima unatema cheche 😀 ushakufa kabla hujafa unakuwaHichi kumbe mwakiwazaga pia.... Mimi nimeplan kuanzia next year niandae virago vyangu nilijikuta nimefika huku angali nilishasema sitofika
Sawa mkuu, I didn't know this beforeSio MV Bukoba tu! Hata Space Islander Zanzibar walikuwa the first in 4 hour's kufika Dar es Salaam International Airport.
Hakika RSA ni ndugu zetu wa damuMuch love RSA ♥️