JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

Haya mambo yana kua kwa kasi sana nje na ndani ya ndoa. Wengi wanafanya na ni siri kubwa sana kwao hasa kwa wanandoa.
Naona kwenye hii mada wote wanao comment wanajifanya hawapendi kabisa huo mchezo πŸ˜‚πŸ˜‚ ila huko sirini kwenu mnajua mnchokifanya.
Cha msingi amkazie tu jamaa, asihofu ndoa haitavunjika kabisa. Yeye aweke tu akilini kwamba sisi wanaume tupewe Yas au tusipewe, tupendwe namna gani au tusipendwe, nje tutaenda tuuu no mara waaa.
 
Nifafanulie kidogo, yani kutoka nje ya ndoa ni sehemu ya uanaume wenu au ni tabia tu ya baadhi yenu?
 
Kumbe ni yeye mwenyewe
 
Unatakiwa kabla ya kuoa au kuolewa na mtu,inatakiwa umjue tabia zake nje ndani nini anapenda nini hapendi. Si hii ya kuuziana mbuzi kwenye gunia. Pole yake huyo binti(japo ni wewe kwa 100%) na bado anayonafasi ya kumwambia ukweli kuwa hafurahishwi na hiyo tabia chafu kabla ya mambo hayajaharibika,au achukue maamuzi magumu (avunje ndoa au akaripoti jambo hili ktk dawati la jinsia)
 
Hapo tatizo si la Mwanamke huyo jamaa yake ndio anatakiwa aelezwe 1. Akifanya hivyo siku akimuhuzi huyo Binti akimshtaki mahakamani miaka 30 bila chenga 2. Si vyema kumfanyia hivyo mke wake mama watoto wake 3. Atapata MAGONJWA sasa hapo ukimshauri Mwanamke haisaidii coz yey kapenda Mwanamke asiyetaka hivyo Huwa anatamka kwa herufi kubwa NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…