dictson
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 257
- 557
Haya mambo yana kua kwa kasi sana nje na ndani ya ndoa. Wengi wanafanya na ni siri kubwa sana kwao hasa kwa wanandoa.
Naona kwenye hii mada wote wanao comment wanajifanya hawapendi kabisa huo mchezo 😂😂 ila huko sirini kwenu mnajua mnchokifanya.
Cha msingi amkazie tu jamaa, asihofu ndoa haitavunjika kabisa. Yeye aweke tu akilini kwamba sisi wanaume tupewe Yas au tusipewe, tupendwe namna gani au tusipendwe, nje tutaenda tuuu no mara waaa.