Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Umesema ukweli kabisa 💯Kwa kweli wanawake siku zote huamua kuishi the way mwanaume alivyo. ukimtongoza mwanamke kwa kishawishi cha pesa, atakupeleka puta hivyo hivyo mpaka uchomoe na ulete malalamiko humu! Shida si wanawake wamekuwa wategemezi bali wanaume tumekuwa wadhaifu kwenye masuala fulani. Mwanaume kulalamika ni upimbi.
mimi nimesema ukweli ila subiri wanakuja watupopoe mawe!Umesema ukweli kabisa
Wanafikiri kwamba wanawake wakishafikisha miaka 30 wanapoteza sauti zao, mkiwakataa hawaamini maana wanafikiri kwa umri huo inabidi usiwe na standard kabisa.Wanalalamika wametutongoza sana tunakataa, pia wanalalamika sana kwanini wanawake wengi 30s hatuolewi! Ni kama tunawabana sijui😏 ila punde tunafika miaka 30 ndio tunapapatikia ndoa (yaani tunaforce) angali tumechakazwa sana🤣
FactMimi niko against na mawazo yao! Sio kila mtu anapapatikia kuwa mke wa mtu! Na sio kila alifika third floor amechakazwa sana kama madai yao! Sio kila single maza amejilengesha akapata mtoto! Wajifunze kuheshimu wanawake!
Only losers shame women, stay away from them.They even went too far and started body shaming women! Can u imagine sis🤔
nimekuja ngoja nivute kiti tuone hawa waja wanatutaka nini💃💃
yaani niokoteze huko kivulana kinioe ili niwafurahishe wanaume wasione nimechakwazwa😂Wanafikiri kwamba wanawake wakishafikisha miaka 30 wanapoteza sauti zao, mkiwakataa hawaamini maana wanafikiri kwa umri huo inabidi usiwe na standard kabisa.
Worse than kuzeeka single ni kuolewa na mwanaume asiye sahihi, hakuna rangi utaacha kuona.
Haa haa watakuambia wewe ni aina ya wanaume wanaojipendekeza kwa wanawake!mimi nimesema ukweli ila subiri wanakuja watupopoe mawe!
kiufupi wanapenda kunyenyekewa kwa kila kitu sa wakiona tupo busy na mambo yetu wanaptwa na kisukari ndo maana wanaanzisha nyuzi za kutusema kila siku leo hili kesho lile ili tu tuwape attentionyaani niokoteze huko kivulana kinioe ili niwafurahishe wanaume wasione nimechakwazwa😂
Never settle for less la mama, acha waje tunawasubiri leo⚔️
Hakuna tofauti ya mwanamke na muislamu...wote wanaongozwa na upumbavu vichwani....Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au "nyie ni kunguni tu mnanyonya wanaume hamuwanufaishi" na nyingine nyingi.
Njooni tuzungumze:
- Je, ni kweli kwamba sisi ndiyo tatizo na hatueleweki ni nini tunataka? au tukiwaambia tunachotaka hawasikilizi?
- Ushawahi shuhudia mtu anapigwa tukio ukajisemea, kwa hili hata shetani anachukua notes 😂 .
- Vitu gani inabidi hawa wenzetu wajifunze kuhusu wanawake ili waendane nasi kwenye ulimwengu wa leo?
- Seran na wenzako, mmewafanya jambo gani hawa ndugu zetu wa JF, mbona kama wamevurugwa mapema sana?
- Unafikiri ni aina gani ya wanaume wako nyuma ya hizi ID za nyuzi za makasiriko na kuwasema wanawake?
Kitu gani kimetiy ukabadili gafla title ya uzi
Nataka kujisahihisha kuwabebesha responsibility mabinti juu ya tabia mbovu za wanaume!Kitu gani kimetiy ukabadili gafla title ya uzi
Hapa kuna sexist,Misogonist na anti-feminist mmoja anaandaa pambano jipya! Atatukuta tuko vere😂💃🏽kiufupi wanapenda kunyenyekewa kwa kila kitu sa wakiona tupo busy na mambo yetu wanaptwa na kisukari ndo maana wanaanzisha nyuzi za kutusema kila siku leo hili kesho lile ili tu tuwape attention
Unachagua vayolensi 😂