Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Licha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
 
Hapa kuna sexist,Misogonist na anti-feminist mmoja anaandaa pambano jipya! Atatukuta tuko vere😂💃🏽
mfano mzuri unakuta mtu amekuoa amekuachisha kazi umeamua kubaki nyumbani kulea watoto na kuweka mazingira ya nyumban sawa plus kumtengeneza yeye alf bado anakuja jf kusema hatuna chaku offer,,, basi binti anaamua kuanza kujitafuta zake kuanzisha ki biashara ajipatie rizki, "unaanzishwa uzi kuwasema wadada wanaofanya biashara flani wanaliwa sana siwezi kuoa mtu wa hivyo"
, binti anaamua kuachana na habari za ndoa anapambania ndoto zake bado anasemwa haolewi,,,

saivi tuko busy jamni
 
Kiufupi hao walio nyuma ya hizo I'd hawana mbele wala nyuma.

Mwanamke akifika third floor ndo kwanza anazidi kuwa mtamu, standard zake anazipanga vizuri hapindishi..,. Mwanamke wa 30 + ndiye anaye hongwa pesa nyingi kiuhalisia huku mtaani na ni hot cake kwa wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua
Hawa wa 20th wengi wao Bado hajajua Nini wanahitaji na ndio linakuwa kimbilio la wanaume wengi ambao hawaishi katika uaname kiuhalisia hao tuite wavulana. Wavulana hupenda haosasabu anaweza kumfanyia atakavyo

Binafsi haya malalamiko nikiyasoma huwa nasali vijana wangu wasiwe wa hovyo....
Pia wapo wanaoandika kutaka tension tu wengine wanaenda na trendy
Ila tu niwaambie huku kwenye jamii mambo ni tofauti na kelele za humu jukwaani
 
Hakuna tofauti ya mwanamke na muislamu...wote wanaongozwa na upumbavu vichwani....
Elezea zaidi

giphy.gif
 
Licha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
Kwahiyo kangekubali kama kapumbavu ndio ungesema ni sawa kuwa hivyo? Haya umetongoza kabinti kamoja inakuwaje unatukana wanawake wote? Huoni kama ww ndio unakwama na fikra zako hazipo mkao? Unamtongoza mtu ili umle ila yeye kuomba kodi ndio kosa! Huoni hiyo ni ngoma droo mmekutana wahuni wote? Ila kwa upande wa gender yenu kuna shida! Hivi hii ya kutongoza asubuhi jioni unaomba mzigo sio ajabu? Kitu ilomfanya Yakobo achunge kondoo for 14 yrs wee unaitaka within 24hrs vichekesho lols 😆
 
Licha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
Mabinti wa sasa hivi wanawajua mlivyo Malaya.... Hamna mapenzi ndio maana hamna hamna kaomba hiyo 150k ukimpa mkapeana wewe utajisifu umeshamla na ni Malaya ,,, na yeye atijipoza na 150k kiroho safi atafanya yake
 
mfano mzuri unakuta mtu amekuoa amekuachisha kazi umeamua kubaki nyumbani kulea watoto na kuweka mazingira ya nyumban sawa plus kumtengeneza yeye alf bado anakuja jf kusema hatuna chaku offer,,, basi binti anaamua kuanza kujitafuta zake kuanzisha ki biashara ajipatie rizki, "unaanzishwa uzi kuwasema wadada wanaofanya biashara flani wanaliwa sana siwezi kuoa mtu wa hivyo"
, binti anaamua kuachana na habari za ndoa anapambania ndoto zake bado anasemwa haolewi,,,

saivi tuko busy jamni
Yani inshort hatuna pa kupumulia😤
Ukiwa single maza kesi, ukikaa bila kuzaa umri unaenda leleleleleeee!!!!!

Watayumbishana wenyewe kwa wenyewe uzuri siye tuna msisimamo yetu!
 
Back
Top Bottom