Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Kama 😎ni ee wanawake ni wazuri sana na watamu 😎😎😎...enyewe hapa ningepata karembo fulani hivi Petite na ngozi ya Melanin walahi lazima nikatoe sadaka ya kuteketezwa kwenye mizimu ya Kwetu ya kimakonde😄😄😄
 
Mabinti wa sasa hivi wanawajua mlivyo Malaya.... Hamna mapenzi ndio maana hamna hamna kaomba hiyo 150k ukimpa mkapeana wewe utajisifu umeshamla na ni Malaya ,,, na yeye atijipoza na 150k kiroho safi atafanya yake
Wazungu wanasema “a win win situation” 😂

Classmate huyu ngosha si alioa siku ya Valentine day au siyo yeye 🤣
 
ACHA nisome Comment.... Mi enyewe nilipigwa tukio lakini ,,kosa ni langu la kushoboka na Bar Maid... So nikajifunzaga sio kila mwanamke wa kushoboka.. so mimi ni SHOBO zangu ziliniponza..😎😎😎😎
Ulishoboka,,, siku nyingine usirudie maana hakunaga mapenzi kwenye shobo. Bora wewe uliyejua kosa lako
 
ACHA nisome Comment.... Mi enyewe nilipigwa tukio lakini ,,kosa ni langu la kushoboka na Bar Maid... So nikajifunzaga sio kila mwanamke wa kushoboka.. so mimi ni SHOBO zangu ziliniponza..😎😎😎😎
Ulikua unataka nini kutoka kwa huyo barmaid mpaka ukashoboka?
 
Licha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
Katoto kalikataa kuwa kake kako mkuu😅
 
Yani inshort hatuna pa kupumulia😤
Ukiwa single maza kesi, ukikaa bila kuzaa umri unaenda leleleleleeee!!!!!

Watayumbishana wenyewe kwa wenyewe uzuri siye tuna msisimamo yetu!
haswaaa, miaka ya zamani wadada walikua na nidhamu ya uoga unakuta anafanya jambo kwa ajili ya kuifurahisha jamii ila saivi tushajitambua,, mijitu yenyewe hairidhiki yanini kuanza kulazimisha uishi maisha ya mateso waache tujitafute tuishi maisha ya ndoto zetu, kama wao ambavyo hawataki kuoa na sisi hatutaki stress zisizo na maana
 
Nimesoma tu kichwa kwanza, jibu ni:

WAMENYIMWA HAO!
giphy.gif
 
haswaaa, miaka ya zamani wadada walikua na nidhamu ya uoga unakuta anafanya jambo kwa ajili ya kuifurahisha jamii ila saivi tushajitambua,, mijitu yenyewe hairidhiki yanini kuanza kulazimisha uishi maisha ya mateso waache tujitafute tuishi maisha ya ndoto zetu, kama wao ambavyo hawataki kuoa na sisi hatutaki stress zisizo na maana
Dadangu naona umechachuka kweli kweli sijui ni nani amekukamulia ndimu 😅
 
Back
Top Bottom