Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Watajua wenyewe tushawazoea bwana! Uwe mwema unachagua sana! Ukibase kwenye pesa unajiuza, to hell bwana🏌🏽♀️Ngoja waje waseme unafanya K yako kitega uchumI 😂 😆
Watajua wenyewe tushawazoea bwana! Uwe mwema unachagua sana! Ukibase kwenye pesa unajiuza, to hell bwana🏌🏽♀️Ngoja waje waseme unafanya K yako kitega uchumI 😂 😆
- Hakuna kitu chochote cha kujifunza ili kuendana na wanawake kwenye ukimwengu huu.
- Hisia ndiko akili ha mwanamke ilipo
Au ukute ni baba wa familia, na yupo na kids wa kike na wa kiume.Some of these men have power and this is how they view women in their areas of work.
It's very sad! imagine kwa mfano huyu awe mtendaji wa eneo anayetegemewa kusuluhisha migogoro kwa usawa na mentality yake iko hivyo 😒
Ili nipate sababu ya kumuongezea mke mwenzaKwanini ulioa kimbaumbau sasa?
Facts, mtu kama huyu akiwa baba wa binti, lazima atamtengenezea trauma.Au ukute ni baba wa familia, na yupo na kids wa kike na wa kiume.
Nadhani binti yake will suffer from abusive language. Na mbaya zaidi binti yake hapo baadae awe na boyfriend ambaye ni muslim.
KabisaMen are getting a taste of their own medicine and it is BITTER ndio maana kelele zimekuwa nyingi
Njoo umwambie singo maza yuko huku kila.Wanalalamika wametutongoza sana tunakataa, pia wanalalamika sana kwanini wanawake wengi 30s hatuolewi! Ni kama tunawabana sijui😏 ila punde tunafika miaka 30 ndio tunapapatikia ndoa (yaani tuna force) angali tumechakazwa sana🤣
Mimi niko against na mawazo yao! Sio kila mtu anapapatikia kuwa mke wa mtu! Na sio kila alifika third floor amechakazwa sana kama madai yao! Sio kila single maza amejilengesha akapata mtoto! Wajifunze kuheshimu wanawake!
They even went too far and started body shaming women! Can u imagine sis🤔
Yuko wapi?Njoo umwambie singo maza yuko huku kila.
Watoto watatu ni kila mmoja ana baba ake..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Daaah, kumbe umejipanga kimkakati kabisa 🤔Ili nipate sababu ya kumuongezea mke mwenza
Yeah definitely.Facts, mtu kama huyu akiwa baba wa binti, lazima atamtengenezea trauma.
Na akiolewa na muislamu ndiyo atam-disown kabisa!
Labda anakutana na matapeli anawazalia😅Tunduma
#YNWA
#YANGA_BINGWA