Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Yaani, so horrible... hebu imagine mtu kama huyu anashikilia hata Utendaji Kata tu, aisee. Mara paaap anakuwa DC, RC.

Hana hata huruma na Mama yake mzazi, maana kamjumuisha humo. Aisee.
This soul.
Some of these men have power and this is how they view women in their areas of work.

It's very sad! imagine kwa mfano huyu awe mtendaji wa eneo anayetegemewa kusuluhisha migogoro kwa usawa na mentality yake iko hivyo 😒
 
Aliyenyooka hana haja ya kujisifu, ukiona tu mtu anajikweza humu, ujue hakuna kitu!
C95F037D-2884-46BC-AD69-78CEB2801817.jpeg

Lol 😆
 
Back
Top Bottom