Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Yaan🙌 mda wote ana act like victim
Malalamiko hayaiishi huyu ukiishi nae unaweza kujifia taratibu huku unajiona
Mwanaume anatafuta kichaka cha kukwepa majukumu, anakwambia kuzaa siyo kazi ya kimaendeleo na domestic labour zote ya nyumbani ni majukumu ya asili, ila yeye hatofanya inabidi ufanye wewe.

Na hata ukifanya haitoshi, inabidi pia utafute namna ya kuchangia kiuchumi na kulipa bills pasu kwa pasu 🚮 🚮 🚮
Muwakwepe wanaume wa aina hii kabisa, msije mkajichanganya!
 
Kwa mtindo huu ndio maana nasema sitaki ndoa mimi🙌

Yaan kuzaa sio kazi wala haileti mabadiliko? na wakati unaanza kuitwa baba na kupita unatangaza kila sehemu
Unashindwa ku appreciate kwa jambo hilo 🙌
 
Kwa mtindo huu ndio maana nasema sitaki ndoa mimi🙌
Ndoa ukimpata mtu sahihi siyo mbaya, shida ni hawa wavulana wanaotaka kunufaika bila kuwa responsible.
Yaan kuzaa sio kazi wala haileti mabadiliko? na wakati unaanza kuitwa baba na kupita unatangaza kila sehemu
Unashindwa ku appreciate kwa jambo hilo 🙌
Wameshajiaminisha hivyo, wanaona kama haki yao bila kukubali wajibu unaokuja na maswala ya uzazi.
 
Hakuna tofauti ya mwanamke na muislamu...wote wanaongozwa na upumbavu vichwani....
i can smell it, someone is both misogynistic and islamophobic.

Mkuu, ukitaka kujifunza Islam, usifate yanayofanywa na ISIS, Boko Haram, propaganda za west, n.k.
Coz hao wote wapo na agenda zao za kisiasa, na wanatumia imani ili kujipatia wafuasi wa bure kwa kuwahadaa kuwa wanapigania imani.
Si unajua mambo ya Kiimani huwa hayataki reasoning wala logic, wewe fata tu (amini na usihoji)

Jifunze, imani vizuri, utagundua no need to fear. Imani haina tatizo, ila watu ndo wenye matatizo.
 
Seran , Hata najua basi muwe makini sana na wanaume wenye victim mentality. Ambaye hata kwenye situation inayomnufaisha, bado anaona anaonewa, ndiyo hao wanaoandika hizo nyuzi.

Ogopa sana mtu wa hivyo.
Mungu aendelee kuniepusha na hilo shetani la mguu mmoja! We deserve what’s best for us! We deserve princess treatment no mara waaa ✌🏽🥰💃🏽
 
Mungu aendelee kuniepuaha na hilo shetani la mguu mmoja! We deserve what’s best for us! We deserve princess treatment no mara waaa ✌🏽🥰💃🏽
Kweli "no mara waaaa" au mnajipa moyo tu 😂😂😂
 
Tokea nimeingia Jf sijawahi kitukana mtu kwa mala ya kwanza nimevunja recod yangu nzuri😁😁
Huyo ndiyo yuko hivyo sijui mwanamke gani alimuachia trauma, kila akiandika nyuzi humu ni either kukandia wanawake au kukandia wanaume wenzake kwa kuwaita ma simp sababu wanawathamini wanawake zao.

Mimi huwa namu-ignore tu, hata leo amenijibu ila nimempita kama sijamuona.
 
Kumbe basi hata mimi nitampuuza 😁
 
Sihangaiki naye, nishamtupa kwenye kundi lake huko where he belongs.
Aww ☺️
Ndiyo mambo ya kisasa hayo, eti wanasema mnataka 50/50 so muoane tu, siyo kuoa au kuolewa
Wakome!! Hata hivyo sio lazima! Eti wanaume nao wana jivika high-valued nimeona binti anasulubishwa wanaume anaowataka sio level zake 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Aww ☺️

Wakome!! Hata hivyo sio lazima! Eti wanaume nao wana jivika high-valued nimeona binti anasulubishwa wnaaume anaowataka sio level zake 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Na uka like kuunga mkono mimi kusurubishwa😁 kisa tu nimesema sitaki ndoa jamaa ame panic anaimba mapambio😁
 
Back
Top Bottom