ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
😭 Alfajiri ni ndeefu kuliko usiku wenyewe😂 moto unawakia somewhere 🔥🔥Babes pole sana, mambo magumu kipindi hiki 😒 hasa ushtuke alfajiri, unaona kama hakukuchi 😂 !
😭 Alfajiri ni ndeefu kuliko usiku wenyewe😂 moto unawakia somewhere 🔥🔥Babes pole sana, mambo magumu kipindi hiki 😒 hasa ushtuke alfajiri, unaona kama hakukuchi 😂 !
Yani, maumivu yake nayajua.😭 Alfajiri ni ndeefu kuliko usiku wenyewe😂 moto unawakia somewhere 🔥🔥
sijaropoka nilikuona kweli sema sio muingiaji humu so sikumbuki ni uzi gani nikikumbuka nakuwekea hapa comment yako 😅Unaropoka sasa , nijitiishe huruma hata sura zenu sizijui? Mimi sio ukota okata wewe binti
Una uhakika ni mimi nikiwa mzima au nililewa ?sijaropoka nilikuona kweli sema sio muingiaji humu so sikumbuki ni uzi gani nikikumbuka nakuwekea hapa comment yako 😅
🤣🤣 niwewe Mr likesUna uhakika ni mimi nikiwa mzima au nililewa ?
Madhara ya mila potofu hayo. My brothers vingereza viingi, vitendo na tabia hamna kitu. My sisters very humble but matokeo ya performances zao shuleni na makazini ni very satisfactory. Ndo maana huwa nachoka sana kuona watu wana judge wengine kwa misingi ya kijinsia.Zamani niliamini wanaume hawaumii mala ya kwanza kuona mwanaume analia nilishangaa
Pia nilidhani wanaume wana akili sanaaa heh nikaja kugundua wengine ni wajinga kupindukia🙌
Nakupenda namna yako ya ku-comprehend mambo.Thanks for pointing that out, I tried kusahihisha kichwa cha uzi ila mods wakagoma kubadili.
Nilirealize baada ya kupost kwamba nimefanya blame shifting na kuwavika mabinti responsibility ya bad behaviour ya wanaume. Hiyo si sawa na nafikiri ni residue ya internalised misogyn ambayo wengi wetu tunaibeba subconsciously na sometimes ina-slip up kutukumbusha bado tuna safari ndefu ya ku-unlearn.
Mbona umekua mkali Mangi 😂 ?Unaropoka sasa , nijitiishe huruma hata sura zenu sizijui? Mimi sio ukota okata wewe binti
Yeye atajuaje kama ulikua umelewa? au uko sober?Una uhakika ni mimi nikiwa mzima au nililewa ?
Usilolojua humu nipo mara mbili, nikiwa nimelewa na nikiwa mzima ,hivyo usichanganye mambo 🤔🤣🤣 niwewe Mr likes
Sijawa mkali kabisa tunaenda tu taratibu mpaka aelewe vizuri😅Mbona umekua mkali Mangi 😂 ?
Yeye atajuaje kama ulikua umelewa? au uko sober?
Itakua ilipiga vitu mkuu😂😂Una uhakika ni mimi nikiwa mzima au nililewa ?
Mimi nikiwa mlevi nikikutana na mimi nikiwa mzima tunapigana kabisa hajui tu huyu🤔Itakua ilipiga vitu mkuu😂😂
Umenena 🙏Madhara ya mila potofu hayo. My brothers vingereza viingi, vitendo na tabia hamna kitu. My sisters very humble but matokeo ya performances zao shuleni na makazini ni very satisfactory. Ndo maana huwa nachoka sana kuona watu wana judge wengine kwa misingi ya kijinsia.
😂😂 Nisaidie kumshtua yule rafiki yako kesho ni weekendMimi nikiwa mlevi nikikutana na mimi nikiwa mzima tunapigana kabisa hajui tu huyu🤔
Hapo mwishoni hapo……Ok. Jibu langu kwa maswali ya mleta mada ni kama ifuatavyo: baadhi ya hoja za wanaosadikika kuwa ni wanaume ambao wameandika kukosoa au kuwakashfu wanawake ni batili kwasababu zinakinzana na uhalisia. Mfano, kusema a woman has nothing to offer to her male partner but a "pussy" siyo tu ni tusi bali pia ni kujidanganya. Mwanamke hata ambaye hana ajira rasmi ambaye anahudumia familia tu bado ana mchango mkubwa sana, sometimes kuliko hata huyo mumewe mwenye ajira. Ajira zenyewe za kibongo nyingi hazilipi vizuri kiasi cha kusema kwamba wewe mwenye ajira una mchango kuliko asiye na ajira. Lakini pia wapo wanawake ambao baadhi ya yanayondikwa hapa jukwaani dhidi ya wanawake yanawaelezea kwa usahihi kabisa.
Back to your original comment. Jibu lako kwa mtoa mada lina uhalisia mdogo sana na haliakisi hicho unachokiita root cause etc. Kusema kwamba wanaume wanaoandika kutukana kukashfu au kudharau women wanasukumwa na hisia za kupoteza power inaweza kuwa kweli, ila ni kwa wanaume wachache sana. Binafsi naamini hata wanaume abusive wengi hawasumbuliwi na inferiority or superiority complex. Chanzo kikuu cha abuse kwa Tz ni mila potofu na kukosa elimu nzuri. Siyo gender ya mwanaume. Wenyewe hao so-called abusers wengi ni wahanga pia wa mila na elimu potoshi. Watu wa hivyo wanabadilishwa kwa empathy, proper education, and time. And, yes, time heals. Huwezi wabadilisha kirahisi kwa kejeli, mipasho, au hata sheria.
Weekend kwako , mimi siku zote 7 kwangu ni Weekend tu😂😂 Nisaidie kumshtua yule rafiki yako kesho ni weekend
Sawa, tutafanyia kazi.. Individually na kama kundi…Na hii ndo sababu ukombozi dhidi ya mwanamke wa kiafrika utachukua muda mrefu kuliko inavyohitajika. Mmekaa kimashindano sana. Yaani mtu unashindana na nobody. Unaweka nguvu mahali ambapo nguvu haihitajiki. Mnafurahisha sana nyie viumbe.
Sawa basi nisaidie kumshtua sasa 😀Weekend kwako , mimi siku zote 7 kwangu ni Weekend tu
Nan? Nina marafiki wengi tuSawa basi nisaidie kumshtua sasa 😀
Ukilewa usichat, huu ulikua ushauri wako ila wewe hauuishiSijawa mkali kabisa tunaenda tu taratibu mpaka aelewe vizuri😅