binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Unaelewa, naelewa…. You are only arguing for the sake of it.Movement yenu itafanikiwa kama ikijikita kwenye kutatua matatizo halisi wanayopitia wanawake kwasababu tu ni wanawake. Pia mkiacha kumchukulia mwanaume kama adui just because ni mwanaume. Kusema kwamba wanaume wanajisikia kupoteza "power" kuona mwanamke ana platform ya kuelezea hisia zake ni kuwazushia wanaume walio wengi jambo ambalo si kweli.
Mbaya zaidi mnatubagaza wanaume tulio wengi ambao siyo tu tunaamini kwenye usawa kwa yale ambayo wanaume kwa wanawake tunaweza kuwa sawa bali pia tumechangia nyinyi kupata platform ya kuelezea hisia zenu. Believe me, most men hawana shida mwanamke kupata haki zake. Ila wana shida na wanawake kuwageuza chanzo cha matatizo yote ya mwanamke na kujifanya wao hawawakosei wanaume.
I hope umesoma kichwa cha huu uzi, my first reply ilikuwa kumwambia mleta mada kuwa: Sio kwamba tumewafanyia nini wanaume ndio maana wanatupopoa mawe humu, bali ulimwengu uko hivi kwa mwanamke toka kuumbwa kwako: Maana sio kuhusu tulichofanya recently bali ni muendelezo.