Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hakuna binadamu mkamilifu chini ya jua! Wanaume pia mmeoza vizuri tu!Ni kweli mkuu nyie wanawake mna mauozo yenu.
Hakuna binadamu mkamilifu chini ya jua! Wanaume pia mmeoza vizuri tu!Ni kweli mkuu nyie wanawake mna mauozo yenu.
Suuuuuuuuuu 😂ha😮 sema su
Eti picha ya nini 😂 😂Kwanini anionee aibu kwani namuomba pic ya 🍆🫴🏾😂🏃🏽♀️
Anyways amesema ningoje🤗
Mwambie aniamini mimi😁Eti picha ya nini 😂 😂
Hivi wanakuwaga ni wadada hao hao? au ni two different groups of people?hahaa ndio maana utakuta wadada wamejaa kwa mwamposa kutafuta ndoa lakini wakiwa JF hawataki ndoa
Mimi na wewe tutajuaje mkuu wakati tunatumia uhusika feki...Hivi wanakuwaga ni wadada hao hao? au ni two different groups of people?
Anything as long as tuna sauti kwasasa japo bado kijamii mabadiliko ni magumu kidogo, Kisheria walau kuna mwanga.Hahaha. Huku ni nikujilisha upepo sana. Ni kweli zamani wanawake walinyimwa fursa za kushiriki maamuzi kuhusu masuala muhimu ktk ngazi ya familia na jamii. Sibishi kuhusu hilo. Ila kusema kwamba wanaume tunaona tunapoteza power kwa wanawake kwasababu wanawake wana fursa ya ku "talk back " ni kujilisha upepo sana sana tu. Mwanaume wa kawaida hajali mwanamke kuongea sana. Tena huwa tunawadharau sana tu kimya kimya pale mnapo ongea ujinga ili mradi na nyinyi muonekane mna haki ya kuongea 😁😁😁.
It’s okay kujisahihisha, it’s okay to think and re think again. Mabadiliko ni kitu kitarajiwa kwa binadamu na ubinafsi sio jambo baya kama unavyotaka lionekane hapa.am not generalize just my experience . Wanawake ni wabinafsi na very complicated unashindwa kujua nini hasa anataka.
#Nina mchumba wa muda mrefu tumesoma wote chuo kimoja mara nyingi aliniambia ndoto yake ni kua na “healthy and happy family” mimi ni mpambanaji tangu tupo chuo baada ya kuhitimu wakati hana ajira yupo home tu nimemuhudumia sana.
Sasa amepata ajira yuko mkoa mwingine. Mwaka huu tulikubaliana tunaanza mchakato wa ndoa. kimbembe anapiga chenga kila nikigusia hili 😂 kwa visingizio tusubiri kidogo atafute uhamisho.
Namuambia acha kazi kaa hapa nitakuhudumia amekataa hawezi kua mama wa nyumbani tu . Ok acha kazi nina kiasi hapa naweza nikakufungulia biashara hataki kisingizio ilikua ndoto yake kufanya hiyo kazi. Yani kama sio yeye alikua anasema my deream ni kua na “ health and happy family “ 😂
Hupendo wake hupo wapiam not generalize just my experience . Wanawake ni wabinafsi na very complicated unashindwa kujua nini hasa anataka.
#Nina mchumba wa muda mrefu tumesoma wote chuo kimoja mara nyingi aliniambia ndoto yake ni kua na “healthy and happy family” mimi ni mpambanaji tangu tupo chuo baada ya kuhitimu wakati hana ajira yupo home tu nimemuhudumia sana.
Sasa amepata ajira yuko mkoa mwingine. Mwaka huu tulikubaliana tunaanza mchakato wa ndoa. kimbembe anapiga chenga kila nikigusia hili 😂 kwa visingizio tusubiri kidogo atafute uhamisho.
Namuambia acha kazi kaa hapa nitakuhudumia amekataa hawezi kua mama wa nyumbani tu . Ok acha kazi nina kiasi hapa naweza nikakufungulia biashara hataki kisingizio ilikua ndoto yake kufanya hiyo kazi. Yani kama sio yeye alikua anasema my deream ni kua na “ health and happy family “ 😂
Naunga mkono hoja mimi hata mama abel akitaka wigi la milioni moja na nunuaKabisa, vivulana vinazingua.
Mwanaume anajua kwanza inabidi afanye kazi, ajiimarishe kiuchumi, malalamiko hayatamsaidia.
Na mwanaume wa kweli anajua kumhudumia na kumjali mkewe, ukishamudu hayo mapenzi utayaona matamu sana.
Duhh huo muda ndio sina kupigana tena😂🏃🏽♀️Atakayejichanganya humu kwa Seran au Binti wa zamani litamkuta jambo 🤣🤣🤣. Ewe mwanaume Linda nguvu zako kama unajijua una afya ya ku download 🤣🤣
View attachment 3548799
🤣🤣Duhh huo muda ndio sina kupigana tena😂🏃🏽♀️
Hiki kijiji kizuri sana wanawake wanavaa hotpant😁
Wanalalamika wametutongoza sana tunakataa, pia wanalalamika sana kwanini wanawake wengi 30s hatuolewi! Ni kama tunawabana sijui
Anything as long as tuna sauti kwasasa japo bado kijamii mabadiliko ni magumu kidogo, Kisheria walau kuna mwanga.
Dharau kwasababu you people think it is personal, it is not.. was never personal! It’s about women rights not some love-hate relationship!
Maugomvi yenu hukooo! hapa ni movement tu.