Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Kwanini huwafanyie hivyo mkuu?Unajua nini??
Tukisha mwaga tu....
Ndipo fahamu zinaturudia.....kama nilikuwa nakuona mzuri,,,ghafla nakuona ni kidampa tu.....
Sasa kama ulikuwa unanisumbua na nikakugharamia hapo ndio naanza kujuta na kujiona mpumbavu hapo hasira zinapanda.....
Matokeo yake ndio vile