Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

My dear,wao ndo wana shida ndo maana wanalalamika😂😂😂.
Fact 💯
Mi nimeolewa, lakini niliolewa kwa kupenda si kwa sababu ya pressure ya umri wala jamii. Kuna watu walijaribu kunipressurize enzi hizo sijui ohho umri unaenda, waliongea wakachoka wakaacha.
Unamuuliza mtu anaolewa lini unataka mkaolewe wote au?😂😂😂.
Hapo sasa 😂😂 hizi pressure huwa zinafanya watu wanachukua maamuzi ambayo wanakuja kuyajutia baadaye.

Mimi tena nilihakikisha nimejipata kiuchumi,nikaweka standards na vigezo vya juu mnoo, nikasubiri akapatikana aliyetimiza hivyo vigezo ndo nikamkabidhi moyo wangu. Nilikuwa tayari nife single kuliko kuwa na mtu asiye na vigezo navyotaka. Na nahimiza mabinti wajitafute kiuchumi na waweke vigezo vya juu,raise the bar ,na wasilegeze msimamo.
# Bora kufa single kuliko kuolewa na gumegume
Ningekua na uwezo wa kupin hii reply ningefanya hivyo na wengine wajifunze kutoka kwako na wasikurupuke.
 
hapo na wewe mkuu unamsifia huyo binti? Hicho alichokifanya ndio umalaya sasa! Yaani anataka nimlipe 150k ili niipige mbususu,yaani anaiuza! Ukute mimi nlikuwa na lengo jema tu lakini kwa kupenda hela na mwenye tamaa malaya bado hata hatujafahamiana vyema tayari 150k anaomba si ni upimbi wa wanawake huu?
Ulichofanya wewe kumuomba papuchi wakati hamjafahamiana vyema ni Umalaya.

Alichofanya yeye kukuomba hela baada ya kumuomba papuchi wakati hamfahamiani ni umalaya vile vile.

Kiufupi mlikutana wote malaya, shida uliogopa anaweza kuchukua hela na papuchi asikupe na ndiyo maana umekuja kulalama humu!
 
Unapotosha wewe, kuwashauri wanawake waweke vigezo vya juu ni upotoshaji mkubwa Sana.

Shida yenu nyie wanawake huwa mnabase Sana kwenye kigezo cha pesa,yaani mwanamke akipata kaajira akaanza kupata vihela vyake anaona ndo amemaliza kila kitu sasa anataka mwanaume sijui mrefu,mweusi, handsome, wealthy and intelligent

It can never be.
Napotosha nini? Vigezo muhimu. Mtu ambaye atakuwa baba wa mtoto wako,mtu ambaye watoto wako watamuiga na kurithi tabia zake kwanini asiwekewe vigezo vya juu?Vigezo muhimu. Raise the bar highhhhhh, be picky enough. Makazini tu hawaajiri yeyote, wanaweka vigezo,kwenye mume ndo vigezo visiwepo, hakuna hiyooo
 
Dunia imekuwa hivi hivi kwa mwanamke tangu kale, Kwasasa platform za kuwasema na kuwasulubu wanawake ndio zimebadilika.

Tofauti ni kuwa na sisi kwa sasa tuna sauti and we can talk back, We are not here to endure. Hii hali inamfanya mwanaume azidi kuona anapoteza power.
 
Mwanamke akifika third floor ndo kwanza anazidi kuwa mtamu, standard zake anazipanga vizuri hapindishi..,. Mwanamke wa 30 + ndiye anaye hongwa pesa nyingi kiuhalisia huku mtaani na ni hot cake kwa wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua
Hawa wa 20th wengi wao Bado hajajua Nini wanahitaji na ndio linakuwa kimbilio la wanaume wengi ambao hawaishi katika uaname kiuhalisia hao tuite wavulana. Wavulana hupenda haosasabu anaweza kumfanyia atakavyo
Kevin Samuels (RIP) alikua na kazi ngumu sana 🤣 Natafuta Ajira
 
hapo na wewe mkuu unamsifia huyo binti? Hicho alichokifanya ndio umalaya sasa! Yaani anataka nimlipe 150k ili niipige mbususu,yaani anaiuza! Ukute mimi nlikuwa na lengo jema tu lakini kwa kupenda hela na mwenye tamaa malaya bado hata hatujafahamiana vyema tayari 150k anaomba si ni upimbi wa wanawake huu?
Sijamsifia,, lengo jema huku unataka ukamkule???
Unataka ufahamu Nini kwake???? Muweke uchumba bila ngono ubaki na 150k yako.
 
Fact 💯

Msiitizo ni hapo kwenye wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua.
UKweli mtupu
Huwezi kukuta mwanaume wa aina hiyo anauliza mwanamke aliyempenda, akamtongoza na kutaka kuwa naye; eti “what do you bring to the table?” wewe kama umeona hana ambacho kina tija na cha kukufaa, unamfuata wa nini?

Fact 👆🏽
Hapa ndo tuweke mkazo ndugu yangu
Mimi pia, nafundisha boys wangu kujitambua na kufocus kwenye kujenga future yenye mafanikio, wawe bora kwenye wanachofanya na wajiimarishe kiuchumi.

💯💯💯
 
Back
Top Bottom