Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Exactly!!Are you talking from experience or you're just basing on hearsays?
Exactly!!Are you talking from experience or you're just basing on hearsays?
We sema tu usikike 🙃Nikitapika humu mtakimbia acha niwastahi, enewei wanawake sio watu🥹😂
Naona Binti wa zamaniBut what bro KERATO fungukaa!
😎😎😎...Naona unarusha ndoano kaka mvuvi 😂😂
Thanks for ur compliment mkuu!Ila Seran na Binti wa zamani ninyi ni wanawake ambao angalau mnajielewa kwa kiwango fulani and that's why you're always on the forefront whenever it comes to fighting for your rights.
Kongole kwenu jamani
Jikite na mada baba mtumishi!Proverbs 14.1
The wise woman builds her house,
But the foolish pulls it down with her hands
Inversely proportionalBinafsi nadhani kipato cha mwanaume kinazidi kuwa duni, huku mahitaji ya mwanamke yakizidi kuongezeka.
Pole 🙃Mimi na mahusiano ni sawa sawa na maji na mafuta
nani alikutumaACHA nisome Comment.... Mi enyewe nilipigwa tukio lakini ,,kosa ni langu la kushoboka na Bar Maid... So nikajifunzaga sio kila mwanamke wa kushoboka.. so mimi ni SHOBO zangu ziliniponza..😎😎😎😎
Lack of wisdomLicha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
Nakubaliana na wewe kwenye point zote 💯💯 umesema vyema!Sababu za wanaume kuwa wakali
1. Mabadiliko ya hali ya uchumi, wanawake wamekuwa na mahitaji mengi ukilinganisha na mapato ya maboy friend wao (mme na mke mnaojitambua na mnaish pamoja hamuwezi rushiana maneno)
-namanisha hakuna breakeven point(rev=exp), tupo kwenye budget deficit
2. Wasichana na wavulana kuingilia mahusiana badala ya mahusiano kubakia kuwa ya wanawake na wanaume (hamtanielewa)
3. Mahusiano kugeuka kuwa chanzo cha mapato a.k.a kukamuana
-lazima mmojawapo akose uvumilivu.
4. Visichana na vivulana vimegeuza mahusiano kuwa kazi nyepesi sana
5. Wanawake na wasichana mnajirahisisha mno kwa wanaume
-bahati mbaya bikra zenu na matumbo yenu yanabeba mimba za watu wasio sahihi, hali inayopelekea nyie kudharauliwa.
6. Hata wale wenye watoto nje ya ndoa kwa sababu za msingi kama kubakwa au kuachwa, mnajikuta hamtambui nafasi yenu ya heshima
7. Wanawake wenye watoto na wenye umri mkubwa huwa mnakimbilia wavulana na si wanaume
Hampaswi kulaumu maana mmeamua hivo.
Usijumlishwe hukoo wewe me wenzako Mungu anajuaGENTAMYCINE na mimi tunawakilisha jamii nzima ya wanaume wa shoka
Sio kwamba anafanya tathmini juu ya mizinga inayoendana na kazi yangu?😀😀😀Inaogopa kuingia cha kike na wewe kama una kazi ya kueleweka kwanini usiseme tu yaishe😂