Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

mtu umemtongoza,amekubali na kukwambia kwanzia sasa sisi ni wapenzi hiyo inaweza kuwa before hata hamjafanya sex. Mbona unajitoa ufahamu sana?
Kuwa wapenzi ndo nini? ? ?

Nyie ndo mnajitoa ufahamu, mnapaswa kuwa viongozi lakini mna behave kama mmekatwa vichwa! ! !

Mahusiano hayaeleweki ni ya nini, mimba ikishaingia ndo mtu ajifanye mimi nilikuwa napita tu!

Achaneni kupotezeana rasilimali vijana.

Mtu akishaanza kurandaranda inbox umuulize mapema unataka nini, na awe very specific, wapenzi is too vague, kama hawezi kuelezea hiyo wapenzi ni nini msaidie muambie utakuwa mpenzi mtazamaji, halafu akae nyuma huko, kisha katoe sadaka umshukuru Mungu kukuepusha na pepo.
 
Hivi mnaposema never settle for less huwa mnamaanisha nini?
Yani eti mwanaume kakutamkia tu nikuoe unakimbiza kwato na humfahamu vzr! Wengi wanamaanisha financial situation lakini nakwambia, point kubwa hapa ni kuanguka na yoyote ili watu waone umeolewa watunze file lako kichwani na hakuna msaada wanakupa ni ujinga!!
 
Kama 😎ni ee wanawake ni wazuri sana na watamu 😎😎😎...enyewe hapa ningepata karembo fulani hivi Petite na ngozi ya Melanin walahi lazima nikatoe sadaka ya kuteketezwa kwenye mizimu ya Kwetu ya kimakonde😄😄😄
Naona unarusha ndoano kaka mvuvi 😂😂
 
Huyo dada haongelei physical appearence bro kuna wanaume wasingeoa ingekuwa hivi! Mrefu mweusi then what?? Kuna wanaume hawana huruma na mwanamke besides love, unatakiwa kujua unaishi na mtu wa aina gani! Upendo hauta last longer, miaka miwili mingi kuanza kugundua unaoshi na mnyama gani! huko ndoani ni pa moto sana! Unaishi na mtu ukimkosea kidogo tu kama umeua kwao! Akhaa😆🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Nimeongea hivyo kwa sababu wanawake wengi vigezo vyao huwa vinabase kwenye physical appearance ya mwanaume ndo mengine yanafuata baadae

Ni rahisi Sana mwanaume kuoa mwanamke ambaye ni physically handicapped bt vice versa is not true
 
wanawake ndivyo walivyo mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na malengo anaonekana hafai,alafu yule sharo ananukia vizuri ndiye anaonekana anafaa,matokeo yake singo maza na 3rd floor tayari! Binti wa zamani huu uzi umeuleta mjipe matumaini ila ukweli unajulikana
Tujipe matumaini kwenye nini?
 
Nimeongea hivyo kwa sababu wanawake wengi vigezo vyao huwa vinabase kwenye physical appearance ya mwanaume ndo mengine yanafuata baadae

Ni rahisi Sana mwanaume kuoa mwanamke ambaye ni physically handicapped bt vice versa is not true
Kuolewa handicapped sio issue! Issue ni mambo unayokutana nayo huko ndani, kijana ataenda kutesa na wazima physically, wewe special group unabaki kufua boxer zenye alama na kulea watoto! Ila kijana akitaka kwenda vacay anatafuta the so called women who cannever settle with him, utasikia tu niko dubai kikazi.. wanaume ni wabinafsi sana! Kama mnavyojichagua kwanza na sisi tumeamua iwe hivi!
 
Seran
mm jina la ubatizo naitwa yakobo
miaka ya nyuma nilisoma kitu fulan kwa miaka miwili
lakn nilijikita kutafuta THEOLOGICAL RESEARC ABOUT THESE NAMES JACOB/JAMES
1. sisi ni wadadisi sana ijapo usoni ni wapole
2. huwa ni wapiganaji sana na wana nguvu sana
3. huwa hatutaki kudharauliwa na wanawake ijapo hatupendi kuwadhalilisha wanawake.

sababu za kuchunga 14 good years
1. hakuelewa tamaduni za mjomba wake au kabila lile kuwa unatakiwa uoe binti mkubwa aliyepo nyumbani

2. hakutaka kupewa bure kama wafanyavyo vijana wa siku hz

3. hakutaka kuwa mdebwedo

4. mwanamke aliyetolewa zawadi/mahari huwa kuna heshima ya ndoa siyo kama hawa wa kuvutana gheto/apartments

5. mwanamke uliyempata kwa heshima na kumhenyea huwa ni rahisi sana kusuluhishana pindi kunapotokea tofauti zenu.

6. heshima ya yakobo ilitunzwa kwa sababu wake zake walijua umhimu wao na hawakuwa vigagura kama wa sasa.
 
Are you talking from experience or you're just basing on hearsays?
 
Well said baba!
Those better days!
Old is gold😍

Unasemaje kuhusiana na hii mada so far?
 
Back
Top Bottom