Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

My dear,wao ndo wana shida ndo maana wanalalamika😂😂😂. Mi nimeolewa, lakini niliolewa kwa kupenda si kwa sababu ya pressure ya umri wala jamii. Kuna watu walijaribu kunipressurize enzi hizo sijui ohho umri unaenda, waliongea wakachoka wakaacha.
Unamuuliza mtu anaolewa lini unataka mkaolewe wote au?😂😂😂. Mimi tena nilihakikisha nimejipata kiuchumi,nikaweka standards na vigezo vya juu mnoo, nikasubiri akapatikana aliyetimiza hivyo vigezo ndo nikamkabidhi moyo wangu. Nilikuwa tayari nife single kuliko kuwa na mtu asiye na vigezo navyotaka. Na nahimiza mabinti wajitafute kiuchumi na waweke vigezo vya juu,raise the bar ,na wasilegeze msimamo.
# Bora kufa single kuliko kuolewa na gumegume
 
Mabinti wa sasa hivi wanawajua mlivyo Malaya.... Hamna mapenzi ndio maana hamna hamna kaomba hiyo 150k ukimpa mkapeana wewe utajisifu umeshamla na ni Malaya ,,, na yeye atijipoza na 150k kiroho safi atafanya yake
hapo na wewe mkuu unamsifia huyo binti? Hicho alichokifanya ndio umalaya sasa! Yaani anataka nimlipe 150k ili niipige mbususu,yaani anaiuza! Ukute mimi nlikuwa na lengo jema tu lakini kwa kupenda hela na mwenye tamaa malaya bado hata hatujafahamiana vyema tayari 150k anaomba si ni upimbi wa wanawake huu?
 
haswaaa, miaka ya zamani wadada walikua na nidhamu ya uoga unakuta anafanya jambo kwa ajili ya kuifurahisha jamii ila saivi tushajitambua,, mijitu yenyewe hairidhiki yanini kuanza kulazimisha uishi maisha ya mateso waache tujitafute tuishi maisha ya ndoto zetu, kama wao ambavyo hawataki kuoa na sisi hatutaki stress zisizo na maana
Tumechokaa!!🙌🏾
 
Kwahiyo kangekubali kama kapumbavu ndio ungesema ni sawa kuwa hivyo? Haya umetongoza kabinti kamoja inakuwaje unatukana wanawake wote? Huoni kama ww ndio unakwama na fikra zako hazipo mkao? Unamtongoza mtu ili umle ila yeye kuomba kodi ndio kosa! Huoni hiyo ni ngoma droo mmekutana wahuni wote? Ila kwa upande wa gender yenu kuna shida! Hivi hii ya kutongoza asubuhi jioni unaomba mzigo sio ajabu? Kitu ilomfanya Yakobo achunge kondoo for 14 yrs wee unaitaka within 24hrs vichekesho lols
nimemtongoza leo,amekubali leo tayari ameniomba 150K ya kodi,huoni kama kuna shida mahala? kuhusu mwanamke mmoja kuwakilisha jamii nzima ni huwa hivyo! malalamiko yamekuwa ni mengi kuwahusu hawa viumbe.
 
Licha ya kuwasifia sana hapo juu ila ngoja niwachane makavu! Wanawake wa siku hizi mmekuwa vimeo sana ndiyo maana tunawakalia kooni kuwananga na kutoa malalamiko yetu kutwa humu jukwaani. Juzi juzi tu nimekatongoza ka binti flani kakakubali, baada ya 2days kananiomba hela ya kodi 150k nikajiuliza kabla yangu kalikuwa kanaishije sikuwa mzembe nikakambia kama unahtaji hiyo hela njoo kwangu gheto takupatia, kanasema kazi inakabana,hakawezi kuja,nikamwambia,kama huwezi kuja basi ukifunga biashara yako nitakukuta geto kwako nikuletee,au wewe uje. Kakachomoa na kakaniblock- ila nilikuwa tayari kugharamia kila kitu na then kawe kake kangu lakinh hakataki mjegeje. Wanawake mna changamoto kweli yani.
Wewe si umetoka kuoa tatehe 14 ? inakuwaje juzi tena ukatongoza mwingine ?

Na kama ulikua tayari kumpa hiyo hela kwa kigezo cha kukupa papuchi yake, kwanini unaona ni huyo bidada tu ndiyo mwenye shida?
 
Back
Top Bottom