Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Huna kabisa cha kusema 😅Napita tyuuuuu!!
Huna kabisa cha kusema 😅Napita tyuuuuu!!
😂🏃🏽♀️ huwa najizuia, ila hawa vijana wa humu wamezidi, hebu muwashauri!Hata wewe kuna wakati mzee akikuzingua hasira zinahamia kwa watoto.
Huwa nawaza sana, mnawezaje kula hadi wale wanaojiuza kwa kigezo cha ny€g£, nachoka!Niege mbaya sana .. I learned in hard way
Men are built differently when it comes about sexual desires... Ujue kiatu kile cha akina dada chenye visigino virefu vile vya Ko ko ko vinatosha tu ku arouse men sexual desires. Hii hali huitwa fetishismHuwa nawaza sana, mnawezaje kula hadi wale wanaojiuza kwa kigezo cha ny€g£, nachoka!
Punguzeni mizinga 😂😂😂Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au "nyie ni kunguni tu mnanyonya wanaume hamuwanufaishi" na nyingine nyingi.
Njooni tuzungumze:
- Unafikiri ni aina gani ya wanaume wako nyuma ya hizi ID za nyuzi za makasiriko na kuwasema wanawake?
- Vitu gani inabidi hawa wenzetu wajifunze kuhusu wanawake ili waendane nasi kwenye ulimwengu wa leo?
- Je, ni kweli kwamba sisi ndiyo tatizo na hatueleweki ni nini tunataka? au tukiwaambia tunachotaka hawasikilizi?
- Ushawahi shuhudia mtu anapigwa tukio ukajisemea, kwa hili hata shetani anachukua notes 😂 .
- Seran na wenzako, mmewafanya jambo gani hawa ndugu zetu wa JF, mbona kama wamevurugwa mapema sana?
Kuna kiongozi wao anaranda randa kwenye huu uzi, alione hili jibu 👆🏽Jibu ni moja wakakojoe walale
Sikupeperushii na kama unataka assist, just say the word 😅Naona Binti wa zamani
unanicheka na unataka kunipeperushia wa kwenda naye vietnam
Thanks kiongozi, nafikiri jukwaa linahitaji pia perspective za wanawake, siyo kila siku tunasikia kutoka upande wenu tu 😂Ila Seran na Binti wa zamani ninyi ni wanawake ambao angalau mnajielewa kwa kiwango fulani and that's why you're always on the forefront whenever it comes to fighting for your rights.
Kongole kwenu jamani
IMO - Women are not picky enough, kuna wenzetu ambao wanajirahisisha, wanajivua thamani na kukurupuka.Napotosha nini? Vigezo muhimu. Mtu ambaye atakuwa baba wa mtoto wako,mtu ambaye watoto wako watamuiga na kurithi tabia zake kwanini asiwekewe vigezo vya juu?Vigezo muhimu. Raise the bar highhhhhh, be picky enough. Makazini tu hawaajiri yeyote, wanaweka vigezo,kwenye mume ndo vigezo visiwepo, hakuna hiyooo
Hili dongo kwa Natafuta ajira 😅Kuna kiongozi wao anaranda randa kwenye huu uzi, alione hili jibu 👆🏽
Hapa watatu ni wanaume si wanawake
💯 fact!Dunia imekuwa hivi hivi kwa mwanamke tangu kale, Kwasasa platform za kuwasema na kuwasulubu wanawake ndio zimebadilika.
True, na ni wanaume dhaifu tu ndiyo wanakua threatened na wanawake.Tofauti ni kuwa na sisi kwa sasa tuna sauti and we can talk back, We are not here to endure. Hii hali inamfanya mwanaume azidi kuona anapoteza power.
Hyo haina ubishiMen are built differently when it comes about sexual desires... Ujue kiatu kile cha akina dada chenye visigino virefu vile vya Ko ko ko vinatosha tu ku arouse men sexual desires. Hii hali huitwa fetishism
Nimesema kiongozi 😅😎Hili dongo kwa Natafuta ajira 😅
Anaruka ruka badala ya kunyoosha maelezo!!Huu ndo ukweli mchungu Binti wa zamani
Enyewe mimi ni kucha za mwanamke tena zile natural halafu awe amepaka ile rangi wanaita hina sijui.. mimi kwishaa habari naanguka kama mbuzi mwenye kimeta🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hyo haina ubishi
Mfano mm nikiona kitovu hususan kilichozama ndani au chini ya paja(sehemu ya nyuma ya goti) hapo mm kwisha kabsa
PlzSikupeperushii na kama unataka assist, just say the word.
Kwisha habari yetuEnyewe mimi ni kucha za mwanamke tena zile natural halafu awe amepaka ile rangi wanaita hina sijui.. mimi kwishaa habari naanguka kama mbuzi mwenye kimetaa