Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Ewe mwanaume na mwanamke, Kula vizuri na ushibe then Fanya mazoezi mpaka utoke jasho Yani mpaka mwili useme basi kutwa mara mbili au tatu Kwa siku kama doziMwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au "nyie ni kunguni tu mnanyonya wanaume hamuwanufaishi" na nyingine nyingi.
Njooni tuzungumze:
- Unafikiri ni aina gani ya wanaume wako nyuma ya hizi ID za nyuzi za makasiriko na kuwasema wanawake?
- Vitu gani inabidi hawa wenzetu wajifunze kuhusu wanawake ili waendane nasi kwenye ulimwengu wa leo?
- Je, ni kweli kwamba sisi ndiyo tatizo na hatueleweki ni nini tunataka? au tukiwaambia tunachotaka hawasikilizi?
- Ushawahi shuhudia mtu anapigwa tukio ukajisemea, kwa hili hata shetani anachukua notes 😂 .
- Seran na wenzako, mmewafanya jambo gani hawa ndugu zetu wa JF, mbona kama wamevurugwa mapema sana?
Afu uone kama utawaza Cha mwanamke au mwanaume, Wala upuuzi kama huu hutaweza kuuleta hapa,
Na kama ni mwanaume unaweza vuka hata mwezi bila ya kusimamisha mb..o..o, Wala kuwaza wanawake, mpaka mpenzi wako anayekuchunaga pesa atakusahau na wewe utamuona wa nini Yani hisia za kijinga zinapungua au zinakwisha kabisa
Fanyeni mazoezi ya mwili na viungo yanasaidia sana.