Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Bila picha unatukosea sana mkuu😆
downloadfile-17 (1).jpg
 
Elezea hapa Kwa kina
Mapenz ni kujitolea yanahitaji urelax pia sio ubishi wala ujuaji hawa huwa hawajal hisia za wengine,hawana juhudi wala kujitolea,wengine hata kutoa muda kwa watu wao hawawezi,wazee wa kuchambua kila kitu ni nadra mwanamke kupenda mtu wa type hii mwisho wanaumizwa wanakuja hapa kuleta makasiriko
 
Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au "nyie ni kunguni tu mnanyonya wanaume hamuwanufaishi" na nyingine nyingi.

Njooni tuzungumze:
  1. Unafikiri ni aina gani ya wanaume wako nyuma ya hizi ID za nyuzi za makasiriko na kuwasema wanawake?
  2. Vitu gani inabidi hawa wenzetu wajifunze kuhusu wanawake ili waendane nasi kwenye ulimwengu wa leo?
  3. Je, ni kweli kwamba sisi ndiyo tatizo na hatueleweki ni nini tunataka? au tukiwaambia tunachotaka hawasikilizi?

  4. Ushawahi shuhudia mtu anapigwa tukio ukajisemea, kwa hili hata shetani anachukua notes 😂 .

  5. Seran na wenzako, mmewafanya jambo gani hawa ndugu zetu wa JF, mbona kama wamevurugwa mapema sana?
Unajua nini??
Tukisha mwaga tu....
Ndipo fahamu zinaturudia.....kama nilikuwa nakuona mzuri,,,ghafla nakuona ni kidampa tu.....
Sasa kama ulikuwa unanisumbua na nikakugharamia hapo ndio naanza kujuta na kujiona mpumbavu hapo hasira zinapanda.....
Matokeo yake ndio vile
 
😂🏃🏽‍♀️ huwa najizuia, ila hawa vijana wa humu wamezidi, hebu muwashauri!
Hawa wadogo zangu hawana hela huwa wanaishia kulalama sana mimi nawaambia kila siku watafute hela hawataki picha liaanza hawana good care kwa wake zao wanaishia kuwagombeza kila day hawawezi kuishi na wanawake hawa majanja
 
Back
Top Bottom