Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #381
Wanajipa umuhimu sanaAww ☺️
Wakome!! Hata hivyo sio lazima! Eti wanaume nao wana jivika high-valued
Hajamjua tu huyo kaka tabia zakenimeona binti anasulubishwa wanaume anaowataka sio level zake 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Mshenzi pro 🙌🏾Wanajipa umuhimu sana
Hajamjua tu huyo kaka tabia zake
Yaani, so horrible... hebu imagine mtu kama huyu anashikilia hata Utendaji Kata tu, aisee. Mara paaap anakuwa DC, RC.The worst combo 😒
Some of these men have power and this is how they view women in their areas of work.Yaani, so horrible... hebu imagine mtu kama huyu anashikilia hata Utendaji Kata tu, aisee. Mara paaap anakuwa DC, RC.
Hana hata huruma na Mama yake mzazi, maana kamjumuisha humo. Aisee.
This soul.
Ngoja akukute humu, akwambie sijui ana gari aina gani na wewe siyo hadhi yake 😂Mshenzi pro 🙌🏾
Kwanini ulioa kimbaumbau sasa?Jf kumbe ina wanawake wengi hivi!!! Kama kuna big big mmoja mwenye tako aje inbox nimuoe maana huyu kimbaumbau nimeshamchoka
Sijui hao hadhi yake wana mwandiko upi🤣Ngoja akukute humu, akwambie sijui ana gari aina gani na wewe siyo hadhi yake 😂
Alimchoka mwenye nyama🙌🏾Kwanini ulioa kimbaumbau sasa?
Naona wanaendesha magari ya hela nyingi na ni submissive no mara waaaahSijui hao hadhi yake wana mwandiko upi🤣
Mbona anataka tena wenye nyama sasa?Alimchoka mwenye nyama🙌🏾
Anajikuta mgumu huyu😆 sijawahi kukutana na itikadi kali kama huyu aisee! Anajikuta amenyooka sana!Naona wanaendesha magari ya hela nyingi na ni submissive no mara waaaah
Si kamchoka kimbaumbau🙂Mbona anataka tena wenye nyama sasa?
Aliyenyooka hana haja ya kujisifu, ukiona tu mtu anajikweza humu, ujue hakuna kitu!Anajikuta mgumu huyu😆 sijawahi kukutana na itikadi kali kama huyu aisee! Anajikuta amenyooka sana!
Haya, nyie mnaotaka mahusiano ya muda ndiyo mtu wenu huyo, akikuchoka kibonge anahamia upande wa pili.Si kamchoka kimbaumbau🙂
Aliyenyooka hana haja ya kujisifu, ukiona tu mtu anajikweza humu, ujue hakuna kitu!
Hata siye tumechoka, kikubwa aje na mtaji mambo ya kuonjana onjana kama vichaa🙌🏾💃🏽Haya, nyie mnaotaka mahusiano ya muda ndiyo mtu wenu huyo, akikuchoka kibonge anahamia upande wa pili.
Ngoja waje waseme unafanya K yako kitega uchumI 😂 😆Hata siye tumechoka, kikubwa aje na mtaji mambo ya kuonjana onjana kama vichaa🙌🏾💃🏽