Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Some of these men have power and this is how they view women in their areas of work.

It's very sad! imagine kwa mfano huyu awe mtendaji wa eneo anayetegemewa kusuluhisha migogoro kwa usawa na mentality yake iko hivyo 😒
Au ukute ni baba wa familia, na yupo na kids wa kike na wa kiume.
Nadhani binti yake will suffer from abusive language. Na mbaya zaidi binti yake hapo baadae awe na boyfriend ambaye ni muslim.
 
Au ukute ni baba wa familia, na yupo na kids wa kike na wa kiume.
Nadhani binti yake will suffer from abusive language. Na mbaya zaidi binti yake hapo baadae awe na boyfriend ambaye ni muslim.
Facts, mtu kama huyu akiwa baba wa binti, lazima atamtengenezea trauma.
Na akiolewa na muislamu ndiyo atam-disown kabisa!
 
Njoo umwambie singo maza yuko huku kila.
Watoto watatu ni kila mmoja ana baba ake..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Facts, mtu kama huyu akiwa baba wa binti, lazima atamtengenezea trauma.
Na akiolewa na muislamu ndiyo atam-disown kabisa!
Yeah definitely.

Kama akioa, atakuwa pia kila siku anamsema mkewe kwa abusive language.
Na jirani zake ambao ni muslim pia atawasema kwa rude words.

His attitude is highly associated with the perpetrators wa bullying, domestic violence, sexual harassment, etc. you name it.

Kudeal na watu wa hivi, inabidi ujue kwanza social background & upbringing na trauma alizopitia mpaka awe na mentality hii.

He needs an immediate psychological counseling & social support (group support).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…