Jamvi la wanawake: Ni kazi gani za nyumbani anapaswa kufanya mwanaume / mume akitoka kazini?

Jamvi la wanawake: Ni kazi gani za nyumbani anapaswa kufanya mwanaume / mume akitoka kazini?

Hawana pa kumlaza na wanataka kusave hela 😅
Sasa hiyo hela wanaitafuta na kusave ya nini? Kama hela unaitafuta na huitumii kutatua changamoto zako, sasa unaitafuta ya nini?

Huyo mwanamke ajiongeze. Hawezi kumuoshesha mmewe vyombo. Kama hawezi kufanya namna ya kuleta dada wa kazi basi apambane.

Sasa umuhimu wa kuoa unakuja wapi, kama mwanaume unatoka kazini na umeoa ila unaishi kama kataa ndoa?
 
Back
Top Bottom