Kwanza huyo jamaa kubadilika ni ngumu na bidada atafute msaada tu wa House Maid.
Kwa upande mwingine sisi wanaume tunazingua sana, wote mtoke kazini na kuchoka juu still mwenzio ahangaike na kuandaa dinner ilihali nae anapenda kuweka miguu juu na kufuta futa simu.
It simple things ukifanya kwa upendo wa kumjali mwenzio ane asiwe na chores nyingi kwa muda mrefu, kuosha, vyombo, kufagia, kuweka sebule sawa n everything in order (tidying up) ni mambo muhimu mwanaume kuyajuana kuwa nayo.
Halafu hatujui wanawake ukiwasaidia kidogo huwa wanafurahi sana kupewa mzigo utapewa vizuri tu, pia humfanya kukumiss zaidi kipindi akiwa peke kwamba Baba Fulani angukuwa hapa hata tutaniane kidogo.
Wanawake bana kama unamsadia sana kuna siku atakwambia tulia nipambane wewe pumzika ujue anatunza heshima yake juu yako na still mzigo usiku utapewa kwa upendo wote.
Mshangazi dot com