Jamvi la wanawake: Ni kazi gani za nyumbani anapaswa kufanya mwanaume / mume akitoka kazini?

Jibu kuu limo humo humo (kama ukishughulisha ubongo japo kidogo).....

Asimame katika zamu yake kama mke mwema na mume wake naye asimame katika zamu yake kama mume mwema kama Mungu Alivyokusudia. Mengine yote ni madogo na yanazungumzika.

Mimi na Mama E, kwa mfano, huwa tunapika pamoja. Nakata vitunguu na nyanya wakati yeye anachambua mchele huku tunapiga umbea na kupanga mipango yetu. Wakati mwingine namwandalia maji ya kukoga...you know the small things....

Nasisitiza tena: kila mmoja akisimama katika zamu yake, mengine yote ni nyongeza tu. Palipo na upendo wa kweli, heshima na kuaminiana hakuna kinachoshindikana!
Ushauri wa busara sana, na umezungumza kama mtu anayeielewa ndoa fika. Asante
 
Huyo bint mwambie kazi ya kufikishwa kileleni na kutoa hela ya matunzo ya familia zinamtosha mwanaume
Utamfikisha kileleni mtu aliyetoka nyumbani na wewe saa 11 alfajiri kwenda kazini, na kurudi nyumbani saa kumi na mbili jioni. Wewe ukapumzika kwenye Tv, yeye akaanza kupika, kuosha vyombo, kuandaa nguo zako za kazini kesho, kusafisha nyumba na majukumu mengine.

Baada ya mambo yote hayo, unafikiri huyo mke anagusika, na hata akikupa kama haki yako japo amechoka, anaweza kuhangaika na kilele. Nahisi mnajidanganya tu kwa kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 au ndiyo maana mnatafuta michepuko ambao hawana majukumu na hawajachoshwa na tabia zenu.
 
Ndio maana tunakataa mfanye kazi... Kazi ya mwanamke akimaliza kazi zake za nyumbani anaoga, anapaka midomo yake mafuta kisha anapumzika kwaajili ya mumewe.

Baba na mama kuhudhuria kazini wote kila siku hamtaweza kufurahia tendo la dhambi ipasavyo
 
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni.

Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja. Mke analalamika kuwa anachoka kufanya shughuli zote za nyumbani peke yake kwasababu wakirudi nyumbani mume anaenda kuangalia TV au kujilaza mpaka muda wa chakula.

Wenye uzoefu; msaidieni kumshauri:
  1. Ni namna gani aanzishe mazungumzo na kuwasilisha hii kero yake kwa busara na heshima.

  2. Ni kazi zipi wanaume wanapaswa kufanya au wanaweza kusaidiana nyumbani baada ya kutoka kazini.

PS:
Walikubaliana wasiwe na msichana wa kazi kusave pesa na kwa sababu nyumba waliyopanga haina chumba cha ziada.
inafaa afahamu kwamba,
hapo ndio kwanza ndoa imeanza kukolea, mambo mazito kidogo yatakuja hapo mbeleni watakapokua na majukumu zaidi ya kifamilia,

hata hivyo,
tunaposema ndoa sio lelemama inahitaji uvumilivu, ustahimilivu na subra, maana yake ni kwenye changamoto na kero ndogo ndogo kama hizo,

na kwakweli,
ni mapema mno kuanza kuchoka na kuanza kuomba msaada nje ya familia yako kwenye suala rahisi kama hilo. Thats red Flag kwenye ndoa yako.

Kaa chini na mumeo as friends, elezaneni ukweli na ndoa ikomae katika ukweli sio unafiki wa kuanza kutafuta usaidizi wa nje ya nyumba yenu.

Fanyeni kazi pamoja kama familia, shirikianeni na mshirikishane mambo yote magumu na mepesi kwa heshima na upendo kuimarisha ushirika wa famila yenu. :KasugaYeah:
 
Hawezi dumu kwenye ndoa, keshakumbuka ma x wake tayari, uanaume kazi
 
Ushauri mzuri sana, nitahakikisha umemfikia!
 
Anauzi kukaa home atoke aende grocery anunue hata maji anywe kukaa kwenye kochi tu aoshe vyombo apike adek akatandike kitanda wewe upo mbona noma
 
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni.

Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja. Mke analalamika kuwa anachoka kufanya shughuli zote za nyumbani peke yake kwasababu wakirudi nyumbani mume anaenda kuangalia TV au kujilaza mpaka muda wa chakula.

Wenye uzoefu; msaidieni kumshauri:
  1. Ni namna gani aanzishe mazungumzo na kuwasilisha hii kero yake kwa busara na heshima.

  2. Ni kazi zipi wanaume wanapaswa kufanya au wanaweza kusaidiana nyumbani baada ya kutoka kazini.

PS:
Walikubaliana wasiwe na msichana wa kazi kusave pesa na kwa sababu nyumba waliyopanga haina chumba cha ziada.
Waafrika wengi hasa wabongo bado ni washamba sana. Wengi watashangaa na kusema kwa nini wasiajiri dada wa kazi. Sababu zitakazonifanya MIMI kuajiri ''dada wa kazi'' ni hizi mbili tu: 1. Watoto: watoto wadogo wananifanya kuona umuhimu wa dada wa kazi kwa sababu ratiba zao za shule na za kazi zangu ni tofauti. 2. Usalama wa nyumba: Sehemu kama jiji la Dar ni hatari sana kufunga nyumba na kuondoka kila siku bila kuwa na mtu kwa sababu ya wezi. Vinginevyo, kama haya mawili yasingekuwepo, sioni umuhimu wa mfanyakazi wa nyumbani. Kama ni usafi wa nyumba nina uwezo (mimi dingi) wa kupiga mop kuliko hata mfanyakazi wa ndani. Vyoo ndiyo kabisa, naweza kusafisha na vikatakata. Uwanja na bustani ya maua ndiyo fani yangu, hata ya bustani ya mboga naweza. Kazi ambazo huwa zinapipa uvivu ni kufua kwa mikono, kupika na kuosha vyombo japo ikibidi naweza kufanya.
 
Back
Top Bottom