Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni.
Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja. Mke analalamika kuwa anachoka kufanya shughuli zote za nyumbani peke yake kwasababu wakirudi nyumbani mume anaenda kuangalia TV au kujilaza mpaka muda wa chakula.
Wenye uzoefu; msaidieni kumshauri:
PS:
Walikubaliana wasiwe na msichana wa kazi kusave pesa na kwa sababu nyumba waliyopanga haina chumba cha ziada cha kulala.

- Ni namna gani aanzishe mazungumzo na kuwasilisha hii kero yake kwa busara na heshima.
- Ni kazi zipi wanaume wanapaswa kufanya au wanaweza kusaidiana nyumbani baada ya kutoka kazini.