Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Screenshot_20260504_201901_Instagram Lite.jpg

Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?

Mwenye video aiweke
 
View attachment 3584251

Aliumia akijiandaa na pambano la Arsenal na MAn City.mchezaji hatari kabisa
 
View attachment 3584251
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?

Mwenye video aiweke
 
Alizaliwa hivyo nadhani
Ana matege miguuni, kadri anavyonenepa style ya kutembea inabadilika, ukimuangalia kwa chuki binafsi au kwa kutafuta tafsiri yako unayoitaka ijadiliwe, waweza kuona upo sahihi pia. Ila ni muondoko wa kawaida tu. Isipokuwa mleta mada furaha yake ni Makonda ajadiliwe negatively kwa kejeli. Ingawa aliyepewa kapewa tu, unavyomchukia ndo anazidi kupata tu.
 
Ungewauliza mabasha wako kikwete na kundi lake wanaoendeleza kuua makumi ya viongozi hapa nchini !
 
Ana matege miguuni, kadri anavyonenepa style ya kutembea inabadilika, ukimuangalia kwa chuki binafsi au kwa kutafuta tafsiri yako unayoitaka ijadiliwe, waweza kuona upo sahihi pia. Ila ni muondoko wa kawaida tu. Isipokuwa mleta mada furaha yake ni Makonda ajadiliwe negatively kwa kejeli. Ingawa aliyepewa kapewa tu, unavyomchukia ndo anazidi kupata tu.
Aisee, unalipwa ngapi na Bashite kumtetea kwa nguvu zote hizi katikati ya usiku mnene
 
Back
Top Bottom