Siyo kwamba hii picha ilipigwa kwenye wrong timing! Usikute mwamba yuko sawa tu.Ila makonda bwana ,ni gujitu fulani gumeumbwa kutufarisha haguishiwi mambo .
Sasa hii ni style gani ya kutembea utadhani amekata center bolt
Alizaliwa hivyo au ni tatizo la ukubwani?
GonoleyaView attachment 3584251
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?
Mwenye video aiweke
Hayo yako wewe mkuu! Mi sipo huko kabisa,Mimi mtu wa Mungu sheikh!Una maana kapigwa pipe? Au sijakuelewa
Ndiyo hilo "koti sijui shati" liwe refu usawa wa kama kimini sketi "?Ila suti imemkaa vema.
nimecheka kilofa, hahahahaaaalabda mazoezi
labda jana yake ilikua leg day
Jitu libaya mwili mbaya mdomo mbaya roho mbaya na halijui kama libaya😂
Anatembea kama yule mzee wa Urambo inayesemekana alikuwa anakula mzigoView attachment 3584251
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?
Mwenye video aiweke
Itakuwa gono au kaswende huyuAlizaliwa hivyo au ni tatizo la ukubwani?
HahahahaView attachment 3584251
Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza?
Mwenye video aiweke
Ndiyo swagger yake ya kutembea hiyoView attachment 3584251