1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #61
Wapo wanabadilika badilika tu,,Kuna wale Wacongoman pale Villa Park wanagonga copy ya miziki ya kwao hivi bado wapo?
Dah naimiss Mwanza.
Sent using my Nokia Torch
Welcum Rock City Native,,, kuna kamvuamvua basi hakuna jotrooMkuu ntakuja Mwanza week ijayo. Tuonane.
Sent using my Nokia Torch
Mtulie tu hamna namnaTulioko kwenye dose na tushaelemewa kwa kukosa kinywaji tufanyeje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah alikuwa wapi naye huyo? Dah,, ina maana hakuona ule mkonge wa pale mkundi? Nimecheka sanaaaa,,,Hahaaaa
Kuna mmoja baada ya kulewa chakari aliwasha gari kuja kushtuka yupo Dakawa badala ya kwenda SUA[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Nimeondoka huko miaka 2 iliyopita.
Jasiri haachi asili yake!
Redbull, iKwenye pombe unapata marafiki wengi sana..
Hivi ni kinywaji gani ambacho kinafanana na pombe kwa muonekano ambacho unaweza ukaenda bar ukanywa kiroho safi bila watu kukuona mgonjwa..
Sipendi kwenda bar alafu unaagiza soda mara juice
Ha ha ha...huyo demu wako kazidiDah pole sanaaa,, nlikuwa na manzi flani kipindi hicho alikuwa mnywaji kushinda mimi,, sasa mm nlitaka asinizidi ktk kunywa basi tunakunywa tunakunywa tunakunywa mida inaenda mwishowe kwa ule uvivu tunaamua kuchukua room basi asubuhi kusaka supu yaaan mwanzo mwanzo nliona sawa kwa kuwa alikuwa mpya mpya yaaan penz moto moto, ila baada ya mwaka mmoja nlimwambia tuache pombe lakini alikataa nikasema kwa style yako hii usitegemee kupata wazuri, rafiki zake wote pombeeeee,,, nashukuru nliachana naye,, namuona tu instagram mara leo CLUB VILLA mara NWANZA HOTEL,, MALAIKA,, Na ameanza kujichora matatoo,, ye full bata,, na anawapanga wanaume wenye pesa ,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebadirika mwanza,Asante sana. Nimeondoka huko miaka 2 iliyopita.
Sent using my Nokia Torch
Aaah Ledger Plaza nyoko, si kwa mibei ile....ila ndani asee, akii unaweza sema uko Los Angeles kule kwa masuperstar!Legder Plaza si mchezo, Konyagi ya sh 8,000/- kitaa wanauza 80,000/-!
Natamani kuacha hila nina imani nitaacha kwani sija haribika kihivyo
Kuna nini kipya? Niliacha barabara ya aiport inajengwa wameichimba chimba mpaka Pasiansi kule...na ile flyover pale Rock City Mall iko mwisho mwisho. What else?
True...but ukiwa mlevi, kunywa kidogo tu halafu mara moja moja, mi ndo nafanya siku hizi!Hapana siwezi rudi zile enzi,, ule ni utumwa aiseeeh,,, hata Mungu unamsahau kiukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni mse****Kila nikifikiria mwili unaokunywa na usiokunywa wote unaenda udongoni....
Waiiii nakiwasha tu
Sent using Jamii Forums mobile app