1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #61
Wapo wanabadilika badilika tu,,Kuna wale Wacongoman pale Villa Park wanagonga copy ya miziki ya kwao hivi bado wapo?
Dah naimiss Mwanza.
Sent using my Nokia Torch
Mwanza naipendea hii misato aiseeeh hii ya kuchoma daaah, kuna siku kwa uroho nikaagiza mzima na ka ugali kadogo na kachumbari,, aiseeeh,,
Acha Sato aitwe Sato
Sent using Jamii Forums mobile app