Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Kuna wale Wacongoman pale Villa Park wanagonga copy ya miziki ya kwao hivi bado wapo?

Dah naimiss Mwanza.

Sent using my Nokia Torch
Wapo wanabadilika badilika tu,,

Mwanza naipendea hii misato aiseeeh hii ya kuchoma daaah, kuna siku kwa uroho nikaagiza mzima na ka ugali kadogo na kachumbari,, aiseeeh,,

Acha Sato aitwe Sato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye pombe unapata marafiki wengi sana..
Hivi ni kinywaji gani ambacho kinafanana na pombe kwa muonekano ambacho unaweza ukaenda bar ukanywa kiroho safi bila watu kukuona mgonjwa..
Sipendi kwenda bar alafu unaagiza soda mara juice
 
Dah pole sanaaa,, nlikuwa na manzi flani kipindi hicho alikuwa mnywaji kushinda mimi,, sasa mm nlitaka asinizidi ktk kunywa basi tunakunywa tunakunywa tunakunywa mida inaenda mwishowe kwa ule uvivu tunaamua kuchukua room basi asubuhi kusaka supu yaaan mwanzo mwanzo nliona sawa kwa kuwa alikuwa mpya mpya yaaan penz moto moto, ila baada ya mwaka mmoja nlimwambia tuache pombe lakini alikataa nikasema kwa style yako hii usitegemee kupata wazuri, rafiki zake wote pombeeeee,,, nashukuru nliachana naye,, namuona tu instagram mara leo CLUB VILLA mara NWANZA HOTEL,, MALAIKA,, Na ameanza kujichora matatoo,, ye full bata,, na anawapanga wanaume wenye pesa ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha...huyo demu wako kazidi

Huyo kashaingia kwenye ishu za wanaume atadata!

Bata tamu mdada jigharamie sio lile la wanaume waiiii[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom