Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Swali la kwanza jijibu mwenyewe.
Hakuna mradi usio na ukomo wa muda.Kununua hivyo vitu vya anasa ni hiari yake kama anauwezo kifedha.
mtazamo wako juu ya reply yangu umekaa kipinzani sana acha uzembe mkuu.
 
Wewe umeleta siasa tu humu huna lolotee !
Mimi mjanja anzisha post yako kama utapata mchangiaji. nina post nyingi sana humu
Mpaka ukimbilie post yangu maana yeke mimi mjanja huwezi jilinganisha na mimi.

Kuingia tu kwenue hii post hicho tu na si hii tu unaingia post zangu kibao.

Hahahaa mimi mjanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimuuliza anapata faida shi ngapi? Kwa siku na matumizi yake kwa ujumla

Usikute anapata ela ya mboga tu

Kuna wakati unaweza kuona mfanyabiashara anapata sana, lakini akikaa akwambie anapata faida gani, na majukumu aliyo nayo utaishia kumuonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu wanatumia ID feki ingekuwa ni live ID Usingeona mtu ana coment kwa kubisha.

Hizi ID zetu zinaficha mambo mengi sana wewe acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu wana mentality za ajabu mno tena mno.

Ujue wale wachoma Mihogo bararani huwa Bagharesa anawana ni maadui na anaamini wakipata akili biashara yake ya mikate iko hatarini.

Sisi ndo tunna kama wanajiabisha vile ile tuwaulie wakina Azam wanawachukulia vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anakusanya mtaji. Graduate wamejaa mtaani sana wengine ndo wako humu kupondea.

Kuna wati ni mwaka wa 4 yuko home anatunzwa halafu anajiona mjanja mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jomba.kwanini usipambane na hali yako?humu ndani kila mtu ana maisha yake na mipango yake ya maisha.
Sasa unavyoleta story zako watu hawakuelewi.
Wewe waache na uoga wao.
Ww usiyekuwa muoga endelea kupiga hela.SHIDA IPO WAPI MPAKA UNA LUMBANA NA WATU HUMU.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vijana wengi wako nyumbani wanalelewa na Mashemeji. wengine wako kwa wajomba zao.

wengine wanafanya kazi na kila siku wanalalamika pesa ndogo ila wapo tu.

Hizi mentality ndo wazungu wanapenda kuziona. Wachina wanapenda sana mentality kama hizi make wanaona pesa wakiona Wabongo wanaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutengeneza simu kunalipa kuliko kuchoma mahindi? Inawezekana kuwa hataki lawama maana mtu anakuletea simu ya 500k halafu inashindikana kutengemaa au ndio anaiharibu mazima.

Vv
Yes wengi Graduate na wengine wanapiga tempo na huko wanalalamika pesa ndogo ila wanajiona wao ni wajanja kuliko anaye choma mihogo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
changamoto kwa vijana wengi ni mtaji, kwa mfano huyo kijana anahitaji sehemu ndogo tu a ofisi ambayo kwa mwezi si chini ya laki mbili na kwa mwaka ni 2.4 m bado vitu kama furniture, computer, leseni ya biashara, TRA na wanataka uwalipe kodi hata kabla huajaanza biashara hizo ndio changamoto , kwa kiofisi kidogo tu unajikuta unahitaji mtaji wa walao 4 - 5m
 
Nyi hata mumtetee but bado ni poor minded.
Labda kama tu ataifanya hio kazi kwa short time.
But in general hizo ni kazi za darasa la saba. Na akilogwa asilaumu mtu.
Uko Dar au wapi? njoo nikupeleke kwa jamaa alie wekeza kwenye kulima mchicha na ana Phd njoo uone alipo sasa na pesa anayo piga kwenye kilimo cha mchicha na sasa na mboga zingine.

Pia nitakupeleka kwa Dada msomi nilie mashauri kuuza mayai Barabarani njoo nikukutanishe naye uone.

Hahahahaaa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…