CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #201
Acha watu waone kama kalaaniwa.Jasiri huyo! Mungu amzidishie
.....daaah ! Wagonjwa wengi sana !Mimi mjanja anzisha post yako kama utapata mchangiaji. nina post nyingi sana humu
Mpaka ukimbilie post yangu maana yeke mimi mjanja huwezi jilinganisha na mimi.
Kuingia tu kwenue hii post hicho tu na si hii tu unaingia post zangu kibao.
Hahahaa mimi mjanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelezea maisha ya kufikirika ya watu wengi kisha unajiona mjanja !Unatafuta nini kwenye post ya Bwege?
Onyesha post yako hata moja ya maana.
Hahahahaa unashidna humu halafu unasema Bwege.
Mimi mjanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau mkuu, nyie ndiyo mmelelewa na mama mpaka vyuoni mnapelekwa na kuchukuliwa kipindi cha likizo [emoji16] [emoji16] [emoji16], ukute hata kufagia uwanja nyumbani kwenu hujawai. Leo unaanza kuponda kazi eti ya darasa la saba. Hivi kwa mfano mzazi wako angekusomesha kwa kazi ya kuuza mahindi ungekuwa unamponda hivyo, fikiri kabla ya kukurupuka tuNyi hata mumtetee but bado ni poor minded.
Labda kama tu ataifanya hio kazi kwa short time.
But in general hizo ni kazi za darasa la saba. Na akilogwa asilaumu mtu.
Dah.... Mfano wa kusoma IT kisha kwenda kuchoma mahindi?[emoji15] [emoji15] [emoji86]
Nimepitia huko Mkuu ndo mana nashangaa, mi siwez kushabikia kitu ambacho sikijui. Kama alivyoanza kwenye mahind angeliweza kuanza hvyo hvyo kwenye ufund cm. Tatizo watu wanasomea vitu kwa kufuata mkumbo ndo madhara yake.Vipi angekuwa nafanya kazi Kwenye hotel pia ungeshangaa?
Au kisa mahindi? kuna cha ajabu nini? sio biashara?
Wanao yalima hayo mahindi wao vipi? hamuwashangai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mahindi akimaliza kuchoma anaya mwenyewe?Uyo jamaa anaforce kukuaa mjini.
Yani katika kufikiria kwake kaona achome maindi.
Kama mtu ni kijana anamalengo yake hana ukilema na anakaa mjini anachoma maindi.
Uyo ni mzembe anapenda kubaki town
Kijijini kuna fursa nyingi sana kilimo ata cha jembe la mkono ukikomaa nalo unatoka.
Kijana ukiingia mgodini kwa miezi sita tu ukafanya kazi kwa bidii wenye migodi hii midogo midogo unatoka.
Tatizo wasomi wengi wanasoma mavitabu na quotes za watu wa ulaya alafu wanafanyia application bongo. Hii ni africa iko tofauti sana.
Mnaenda kwenye semina za fursa za. Kinaruge wale wanawashauri muuze karanga za kutembeza town.
Wanaofaidika na izo kazi ni watu wenye mitaji mikibwa kama diamond karanga.
KIJANA NJOO KIJIJINI kama unamalengo kweli huwezi jutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachofanya hapo ndo kujiongeza!IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Nipo bush sijaambiwa nanaona mwenyewe.Hayo mahindi akimaliza kuchoma anaya mwenyewe?
Akili nwendi kasi hizi. alie kudangabya kijijini ndo kuna fufuda pekee ni nani?acha kujifariji
Sent using Jamii Forums mobile app
Inazidi mishahara ya wengi wanao piga kelele humu sema tu watu tunatumia ID feki ungepigwa butwaa mkuu usione watu wanapanu midomo humu. siri wanazo wenyeweNilikutana na dada mmoja Makambako anachoma mahindi aliniambia anapata faida ya ya sh 10,000 kwa siku.
Anaanza kuchoma kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 3 usiku .
Mwaka 2015 nilikutana na mpaka rangi za kucha stend ya makumbusho aliniambia kwa usiku anapata mpaka 30,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mahesabu ni ya kufikirika tu1. MTAJI.
Jiko la Kuchomea Mahindi siyo zaidi ya 15,000/=
Mkaa Ndoo moja haizidi 5000/=
Hindi moja bichi si zaidi ya 300/= Ukianza na Mahindi 50 = 15,000/=
Kiti cha kukalia 13,000/=
Jumla kuu ya Mtaji inakuwa 48,000/=
2. MAUZO.
Kwa siku ukiuza Mahindi yote 50 kwa Tsh 500/= @ Hindi unakuwa umepata Jumla ya Tshs. 25,000/=
3. MATUMIZI KWA SIKU.
Toa gharama za Mkaa, ukiwa umenunua Debe moja kwa wastani linaweza tumika kwa siku 4. Hivyo kila baada ya siku 4 unatakiwa kununua Mkaa mwingine. Hivyo, ukichukua gharama za Mkaa 5000/ 4 kwa siku inakuwa 1250/=
3i)CHAKULA.
Kifungua Kinywa = 1000.
Mchana = 1500
Usiku 1500
Jumla 4000/=
ii)Mawasiliano kwa siku 500/=
iii)Usafiri kwa siku 1000/=
iv)Kodi ya nyumba kwa mwezi 15,000. Kwa siku = 500/=
v)Umeme kwa mwezi 5000, kwa siku= 200/=
vi)Maji kwa siku ndoo 2 = 200/=
vii)Matibabu kwa mwezi 10,000/= kwa siku = 350/=
CHAKULA + MKAA + GHARAMA ZA MAHINDI 50 + MAWASILIANO+USAFIRI+KODI YA NYUMBA+UMEME+Maji+MATIBABU = 4,000+1,250+15,000 +500+1000+500+200+200+350= 23,000/=
FAIDA = MAUZO - MATUMIZI = 25,000 - 23,000 = 2000.
FAIDA @ Siku X 30 = 2000X 30 = 60,000/=
FAIDA MIEZI 6 = 60,000X 6 = 360,000/=
Baada ya Miezi 6.
Unaajiri Kijana wa Kuuza Matunda. Anakuwa na Toroli na Kabati ya Matunda. Ukichukua Faida yako ya kuuza Mahindi + Faida ya Matunda baada ya Mwaka mmoja utapata Mtaji wa Kupanga kwenye Frame na unaanza shughuli zako za IT mdogo mdogo, kumbuka Computer hapo unayo tangia Chuo.
Kumbe si haba, maana aliyejifanya kusubiri ajira yeye hapo anakuwa bado anahangaika na bahasha mkononi kwa miaka hata zaidi ya miwili mitatu.