Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Tunampongeza huku tukijiuliza pia elimu ya chuo kikuu ya IT imemsaidiaje. Je kwenye uchomaji huo kuna ICT based innovations alizoapply ? Je kwanini asidevelop hata app ya kusaidia watu kupata location ya mahindi yake, akaitangaza kwenye fb, insta na jf ili watu wote wa Arusha wapate mahindi kwake ?? Nampa pole...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko maofisini wanapata how much? Hahaha ndo maana nasema ni kwa sababu watu wanatumia fake ID la sivyo watu wangeumbuana sana humu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesome post yangu au umetoka kibaruani na kurukia ku coment?

Hii mida sasa tuanze kutegemea coment za ajabu zaidi saa 10 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie vizito unavyo fanya wewe. Na Ueleze na Jina kamili. make hapo ulipo umeajiriwa.

Kama umeajiriwa huna nguvu kumkosoa jamaa.

Kama unejiajiri unaweza kumkosoa jamaa.

But unafanya kazi kwa mwanaume mwenzako hupaswi kumkosoa kamwe.

Make tukipima yeye ni mjanja na amajaribu.

Wewe ni muiga na una aibu fullu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sisiter anatifauti gani na jamaa? Dhat is why nikasema ningesema jamaa kapiga IT na kwa sasa ana Bucha ya kuuza nyama nazani watu wasingeshangaa.

Kushangaa ni kwa sababu anauza mahindi.

Kosa lake ni mahibdi basi.

Ngoja wachina waendelee kuja Bongo make kama wangeweza kupitia humu kuona akili za kibongo wangesgangikia sana

Kwa wachina ni furusa kwa Wabongo ni kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko maofisini wanapata how much? Hahaha ndo maana nasema ni kwa sababu watu wanatumia fake ID la sivyo watu wangeumbuana sana humu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijahajiriwa.
Na ata si support vijaana waajiriwe ila wajiajiri kwenye biashara zinazoweza kuwasaidia wakakua kiuchumi.
Yani kakosa kazi zote adi afanye kazi ambayo kimsingi haiwezi kukuza mtaji wake zaidi ya kumpa yeye tu hela ya kula ata hawezi saidi familia yake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona elimu ya kujihajiri hujaijua bado.
Mimi sijahajiriwa na wala sina mpango huo.
Kwani aliyeajiriwa alafu anao uwezo wa kusave iyo 180,000 per month.
Na uyo unaemfurahia anaesave 180,000 per 6 months....
Nani mwenye akili..
Nani anaeweza kua na biashara kubwa baada ya mwaka mmoja.

Mpe ushauri uyo kijana anaeforce kubaki mjini.
Aje bushi uku songwe tupige kazi za kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zake nyingi... Vijana inabidi tubadili mtazamo, maisha yamebadilika sana
 
huyo jamaa elimu haijamsaidia,fani ya IT haihitaji mtaji-mtaji ni maarifa aliyonayo kichwani
Mkuu umesoma IT kweli au unajua nini kuhusu IT
Hawa jamaa wa IT kitu kikubwa ni mtaji kama huna mtaji wa kueleweka mjomba hio IT inahitaji FUNDING kubwa sana
Vifaa gani vya kielectronik visivyo vya gharama au part ipi ya IT anaweza kujiajiri mwenyewe asihitaji gharama za kuanzia sio biashara ile kuandika proposal unapewa mtaji hawa jamaa wanaofanya development ya systems au kutengeneza application i issue sana kukubalika hasa product zao sababu ya security issues kama hujui hawa watu wana struggle vipi hahahahha usiwasemee

IT sio kuwa na laptop afu una click izo buttons ila kuna vifaa muhimu ili waweze kujiajiri wenyewe
 
Hebu mwambie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, ni Principles zipi za kiuchumi ume apply ili kupata hizo hesabu zako? Je, ni kazi zipi hizo nyingine anaweza kufanya na akapata pesa.?

Kama fursa zipo rahs kiasi hicho kungekuwa na rundo la graduates wa IT wanahangaika kila kukicha kupata kazi/fursa..?

Je, una tarifa kuwa wapo graduates wengi waliomaliza na kusubiri kupata ajira / kutafuta fursa na sasa ni zaidi ya miaka mitano na hali yao bado ni ngumu kimaisha na hawajafanikiwa kwa chochote??

Je kama wangeanza na Idea ya kuchoma Mahindi kama huyo ndugu au kwa kufuata analysis hapo juu niloweka wangekuwa kama walivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…