Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
IT naweza sema huyo jamaa elimu haijamsaidia kabisa;;;Ni fani ipi inahitaji mtaji? Hebu tuanze na wewe hapa tueleze umesomea nini na unafanya nini.
Hizi ID keki ndo zinatuvika nguo tu. zaidi ya hapo watu hats ku comebt wasinge coment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa sasa utueleze wewe unatumia vipi maarifa yako. wewe kama wewe.IT naweza sema huyo jamaa elimu haijamsaidia kabisa;;;
Yaani IT amekosa kabisa kutumia maarifa yake huyo ni IT uchwara
Wale wachina kule Kariakooo unawaona vipi?Mi sizani kama ni kitu cha kufurahisha!! Elimu ya tanzania ichunguzwe, viongozi wa kisiasa wajichunguze!!
Simlaumu muuza mahindi ila namwonea huruma kupoteza miaka mitatu chuoni!!
Kwa kifupi alisoma kitu ambacho hapendi!!
Unajua kuna Graduate wangapi mtaani?.acha kebehiv. Kuna watu wana miaka 6 wanatafuta kazi wao unawazungumzia vipi?chuo alichosomea hakina faida kwa jamii.
Achana na hao mkuu wao mara Bilioni mtu ake nyumbani alishwe hata kama ni miaka 10 kuliko kufanya jambo.Ndugu, ni Principles zipi za kiuchumi ume apply ili kupata hizo hesabu zako? Je, ni kazi zipi hizo nyingine anaweza kufanya na akapata pesa.?
Kama fursa zipo rahs kiasi hicho kungekuwa na rundo la graduates wa IT wanahangaika kila kukicha kupata kazi/fursa..?
Je, una tarifa kuwa wapo graduates wengi waliomaliza na kusubiri kupata ajira / kutafuta fursa na sasa ni zaidi ya miaka mitano na hali yao bado ni ngumu kimaisha na hawajafanikiwa kwa chochote??
Je kama wangeanza na Idea ya kuchoma Mahindi kama huyo ndugu au kwa kufuata analysis hapo juu niloweka wangekuwa kama walivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimesomea biashara na ninafanya biasharaNi fani ipi inahitaji mtaji? Hebu tuanze na wewe hapa tueleze umesomea nini na unafanya nini.
Hizi ID keki ndo zinatuvika nguo tu. zaidi ya hapo watu hats ku comebt wasinge coment.
Sent using Jamii Forums mobile app
IT akijitolea saccos kwa miezi miwili wakampa nauli na chakula anaweza kuandika application atakayoweza kuuza kwenye mamia ya saccos.Unajua kuna Graduate wangapi mtaani?.acha kebehiv. Kuna watu wana miaka 6 wanatafuta kazi wao unawazungumzia vipi?
Nazani niache kuendele na coment makenachosha na coment mfu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu hongera sana mkuu Hope utafika mbali sana na utakuja kuajiri wanao kebehi humu.Wakuu, binafsi ni mfano mzuri sana wa hiyo mada. Nilimaliza chuo UD hapo (Law) kitambo kidogo,, naenda mahakamani najitolea wee hauwakupi hata nauli..nikatafuta mashine ya kukamua juice ya miwa nikaweka hapo Songas kwa machinga nikaanza kaz,,,, kwa siku nilikuwa napata faida 30000 mpaka 35000 baada ya matumizi, nilipiga miezi 4 tu nikamwachia mtu mi nikaruka Songea nimenunua mahindi nasubiri mwez wa 9 nasaga niuze unga..soon nitafungua kiwanda changu naanza kupaki na kuuza unga...we endelea kumdharau anaeuza mahindi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu mujjarab kabisaUmeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.
By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?
Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?
Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?
Unajua kwa siku anaingiza how much?
UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh, kumbe hua inalipa sana eeh?Good idea na hii biashara inalipa sana. I wish angekua Mby City tubadilishane mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naomba mtaji tu wa m1 nifungue duka chalii anguNyi hata mumtetee but bado ni poor minded.
Labda kama tu ataifanya hio kazi kwa short time.
But in general hizo ni kazi za darasa la saba. Na akilogwa asilaumu mtu.