Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Nyia mnaponda kisa mahinid hakuna kingine.
Mentality zenu za kimasikini endeleeni kuajiriwa acha yeye baada ya muda aajiri watu ndo.mtajua kwamba mahindi ni pesa au sio pesa.

Unajua mipango yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nashangaa mno na kusikitika sana.

Watu wanaona kwamba jamaa kabugi njia kisa anachoma mahindi?

Je kosa ni mahindi?

Kuna kosa gani pale? hapati pesa? atakufa? Hajatengeneza ajira kwa wanao.lima hayo mahindi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyia mnaponda kisa mahinid hakuna kingine.
Mentality zenu za kimasikini endeleeni kuajiriwa acha yeye baada ya muda aajiri watu ndo.mtajua kwamba mahindi ni pesa au sio pesa.

Unajua mipango yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwananchi, humu hatujuani.......
Huyo hakuweza tumia alichojifunza vizuri, hata kwenye Database pekee kama sehemu ya kozi ya IT angeweza ishi kwa kutengeneza database kwa ajili ya sme's.... mtu wa IT akishindwa fanya kitu kidogo kama hicho basi huyo shuleni alienda kula na kulala tu.

Biashara ya mahindi choma ina msimu wake na siku serikali ikikasirika inapiga pini uchomaji wa mahindi mabichi kutokana na hali ya afya ya eneo husika

Kubali kuwa unashabikia itu ambacho kihalisia si sahihi hata kidogo,
 
KWAHYO NDYO FURAHA YAKO MWENZIO KUUZA MAHINDI?????
Napiha peaa kuliko wewe unayo pata hapo.

Ulitaka nilie? yeye ana Daily income yake wewe unasubilia tarehe 30.

Yeye analipwa na watu zaidi ya 400 wewe unalipwa na mtu mmoja.

Yeye anatumia masaa yote 24 kwa kazi zake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo graduate asipoangalia anaweza akashindwa kukusanya mtaji kama anavyokusudia.

Rai yangu nikwamba awe makini asije akaanza kuuza NDUMU ili kupata pesa za maana,na hicho kijiwe kikatumika kama geresha tu.
 
Unajua malengo yake?.unajua kwenye post nimesemaje?.Anajichanga sawa?

Anatafuta pesa na bado mahindi atachoma na bado IT atafanya mbona nimeeleza lengo lake?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinge mention Fani yake Mahindi isingekua tatizo, lkn kwa fani aliyosomea hiyo kazi aimfai labda km angekua amesomea Agriculture kidogo ingemake sense. IT yake itakua kasomea Vyuo vya uchochoroni anashindwa hata kujiongeza hata kudownload Movie na kuzibani akazisambaza ameshindwa so sad.
 
Reactions: SDG
Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tunasoma elimu ya kukremishwa(elimradi kufaulu mtihani) power of thinking and creativity hamna.
Hilo siyo jambo LA kusifu ni jambo LA kuombewa Mungu afungue mind set tufikiri sawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uoga,ndo umaskin wetu watz
Wacha jamaa ajiondolee
Mikos ya kuajiriwa wa
Ajiajir mwenyewe

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
wewe nazani unatunzwa na shemeji yako kila mahali ni mzaha tu.

Inabidi nije niongee na Jamaa wa Jf watengeneza jukwaa maalumu la watu kuigia kudiscus biashara nyie wengine mbakie kwenye Udaku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhana mbaya,na ni dhambi kumdhania mtu,mie nalipa kodi ila sikulazimishi kuwaza hivyo usemavyo,pole kwa kuniwazia tofauti,maana unapata shida kuniwazia though hunijui.
I just posted such picture as a joke naona umekurupuka kama mkaz wa Chattle


May Allah bless Me and You
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Mkuu, box moja kwa ajili ya kuflash simu si chini ya laki tatu, brower ya ukweli si chini ya laki moja, spana/bisi bisi za kufungulia simu si chini ya elfu kumi, computer desktop si chini ya laki mbili na nusu, jumla hapo anatakiwa awe na 660k wakati mtaji wa kuchoma mahindi laki moja tu inatosha
 
Unajua malengo yake?.unajua kwenye post nimesemaje?.Anajichanga sawa?

Anatafuta pesa na bado mahindi atachoma na bado IT atafanya mbona nimeeleza lengo lake?



Sent using Jamii Forums mobile app

Kila kitu afanyacho mtu anakuwa na sababu au malengo ila kwa huyo IT hapo ndio analaza alichosoma maana muda mwingi atakuwa huko......
Tuwe wakweli na sio kusifia kila kitu, IT ni very practical usipoipractise inakuacha
Huyo mtu alishidwa na ili kupata public sympathy akaamua afanye hicho afanyacho sasa
 
Hili jukwaa kwanza nazani wanaingia hadi House boy humu make coment zingine ni za ajabu sana.

Nilitarajia humu watu wa mawazo mbadala ila ni fullu waoga.

Hizi shule zetu zinatudanganya sana tujione tuko sayari nyingine.

Kwamb wanao uza nynya ni wajinga, wanao uza maji barabara ni hawana akili.

Kwamba ujanja ni kupiga tai asubuhi na kwenda kitumikishwa na kutumwa tumwa kama mtoto mdogo.

Mentality za kijinga tunako enda hata Phd holder watachoma tu mahindi kama NIGERIA. Ni swala la.muda tu.

Pia kila mtu ana malengo yake na anacho fanya kikubwa ni malengo ya mtu.

Hayo mahindi kuna wakulima wanalima sasa asipo choma wakulima si wataacha kulima?

Vipi wauza mbegu?

Kwenye hiyo biashara kuna Chaini kubwa sana jamaa anatuoa ajira Indirect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Mkuu, box moja kwa ajili ya kuflash simu si chini ya laki tatu, brower ya ukweli si chini ya laki moja, spana/bisi bisi za kufungulia simu si chini ya elfu kumi, computer desktop si chini ya laki mbili na nusu, jumla hapo anatakiwa awe na 660k wakati mtaji wa kuchoma mahindi laki moja tu inatosha
Akitaka kuiona faida vizuri alime shamba la mahindi
Una akili sana, yaani natamani nikuone
 
naona kwa sasa nyumbani Tanzania ni ajabu graduates kujishughulisha na shughuli ambzo either zsizo rasmi ama tofauti na kile alicho somea chuoni dunia ya leo mambo yamebadilika sana wenye kufikia lengo la kutumia elimu yao ku create a business inayo husiana na cert,diploma,degree yake ni ngumu kutokana mindset capital na mazingira magumu ya kuifanyia kazi mtayaona mengi kwa sababu life halipo fair sishangah kuona makondakta, mama ntilie, bodaboda, dereva tax,na madereva wa magar mengine , wachuuzi wa bidhaa ndogondog wakishiriki vyote hivi kujipatia riziki sasa kesho mtamwona anauza karanga mbio jamii forum kweli ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…