Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyia mnaponda kisa mahinid hakuna kingine.We nae hueleweki sasa.
Umekuja hapa na stori ya mtu wa IT akichoma mahindi, baada ya watu kukuambia huyo mtu ni boya umeanza lukia kuhusu wanasheria ambao hawana mihuri yaani ni vilaza ........
Au huyo aliyesomea soil sayansi ila anashindwa hata kuwa na bustani
Mkuu nashangaa mno na kusikitika sana.Kazi yeyote ikiwa halali na inakupatia kipato,halali,inabaraka Mbele za Mungu. Napenda sana kijana kufanya maamuzi magumu sio kukaa at unasubiria ajira za serikali, au kutembea na vyeti
Barabarani kila kukicha. Big up Sana jembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyia mnaponda kisa mahinid hakuna kingine.
Mentality zenu za kimasikini endeleeni kuajiriwa acha yeye baada ya muda aajiri watu ndo.mtajua kwamba mahindi ni pesa au sio pesa.
Unajua mipango yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napiha peaa kuliko wewe unayo pata hapo.KWAHYO NDYO FURAHA YAKO MWENZIO KUUZA MAHINDI?????
mazingira ya ubishoo ahaaaaaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Unajua malengo yake?.unajua kwenye post nimesemaje?.Anajichanga sawa?Mwananchi, humu hatujuani.......
Huyo hakuweza tumia alichojifunza vizuri, hata kwenye Database pekee kama sehemu ya kozi ya IT angeweza ishi kwa kutengeneza database kwa ajili ya sme's.... mtu wa IT akishindwa fanya kitu kidogo kama hicho basi huyo shuleni alienda kula na kulala tu.
Biashara ya mahindi choma ina msimu wake na siku serikali ikikasirika inapiga pini uchomaji wa mahindi mabichi kutokana na hali ya afya ya eneo husika
Kubali kuwa unashabikia itu ambacho kihalisia si sahihi hata kidogo,
Usinge mention Fani yake Mahindi isingekua tatizo, lkn kwa fani aliyosomea hiyo kazi aimfai labda km angekua amesomea Agriculture kidogo ingemake sense. IT yake itakua kasomea Vyuo vya uchochoroni anashindwa hata kujiongeza hata kudownload Movie na kuzibani akazisambaza ameshindwa so sad.Acha ujinga basi, yeye anajua anacho fanya sawa? wewe una nini? anaye kulipa akifa ndo mwisho wa ujanja wako.
Yeye anajua malengo yake.
Tatizo ni mahinid najua ila ningepresent ana unza taili za Magari mngeshangilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana pakuamziaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Dhana mbaya,na ni dhambi kumdhania mtu,mie nalipa kodi ila sikulazimishi kuwaza hivyo usemavyo,pole kwa kuniwazia tofauti,maana unapata shida kuniwazia though hunijui.wewe nazani unatunzwa na shemeji yako kila mahali ni mzaha tu.
Inabidi nije niongee na Jamaa wa Jf watengeneza jukwaa maalumu la watu kuigia kudiscus biashara nyie wengine mbakie kwenye Udaku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, box moja kwa ajili ya kuflash simu si chini ya laki tatu, brower ya ukweli si chini ya laki moja, spana/bisi bisi za kufungulia simu si chini ya elfu kumi, computer desktop si chini ya laki mbili na nusu, jumla hapo anatakiwa awe na 660k wakati mtaji wa kuchoma mahindi laki moja tu inatoshaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Unajua malengo yake?.unajua kwenye post nimesemaje?.Anajichanga sawa?
Anatafuta pesa na bado mahindi atachoma na bado IT atafanya mbona nimeeleza lengo lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, box moja kwa ajili ya kuflash simu si chini ya laki tatu, brower ya ukweli si chini ya laki moja, spana/bisi bisi za kufungulia simu si chini ya elfu kumi, computer desktop si chini ya laki mbili na nusu, jumla hapo anatakiwa awe na 660k wakati mtaji wa kuchoma mahindi laki moja tu inatoshaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Una akili sana, yaani natamani nikuoneAkitaka kuiona faida vizuri alime shamba la mahindi