nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee
Napiha peaa kuliko wewe unayo pata hapo.
Ulitaka nilie? yeye ana Daily income yake wewe unasubilia tarehe 30.
Yeye analipwa na watu zaidi ya 400 wewe unalipwa na mtu mmoja.
Yeye anatumia masaa yote 24 kwa kazi zake mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku MTU alinipigia mahesabu pesa wanayopata wauza mahindi kwa siku.Kwanza ukianza na mhindi mmoja mmoja anavyojumua mkaa anaotumia na faida.Aiseee wakitulia wanapata faida kubwa sana.Yupo sahihi.Na atafika mbali.Huruma tuwaonee ambao mpaka Leo watamsubilia Angela Kairuki amalize ukaguzi wa vyeti ambao hauna End .Viva Mchoma mahindi MPE salamu zangu na hata kamtaji kidogo naweza muongezea akuze mtaji.Sasa umepata furaha gani hapo zaid ya kuona huruma?? Sometimes this world is not fair. Sometimes haimaanish the hard you struggle you will have happy ending.
Wewe ndo hujui.Leo pita kijiweni wanakouza piga mahesabu.UtaniambiaaMkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anatokea nyumbani kwao je?kuna watu mnajua kukatisha watu tamaa kama mnajua.So upo tayari ashinde home kutizama TV na si kuchakarika??huyo keshaanza hatua.Baki mkimsubiri Anjela KairukiSomo kubwa la kujivunza hapa ni kutokuwa na uoga na aibu!!
Ila kukusanya mtaji kwa kuchoma mahindi, huduma zingine za kimaisha anaziendesha vipi na anasevu kiasi gani??!!
sio kweli. sio lazima uanze na kuflash smart phone.. angeanza na kutengeneza vitoch.. kwa hio laki hawezi kukosa desktop..hata angekuja hapa JF mimi ninngeweza kumpa hio desktop ya kuanzia.. afu badae angejiongeza mwenyewe ila kuchoma mahindi ni kuwa KIAZIMkuu, box moja kwa ajili ya kuflash simu si chini ya laki tatu, brower ya ukweli si chini ya laki moja, spana/bisi bisi za kufungulia simu si chini ya elfu kumi, computer desktop si chini ya laki mbili na nusu, jumla hapo anatakiwa awe na 660k wakati mtaji wa kuchoma mahindi laki moja tu inatosha
Una akili sana, yaani natamani nikuone
kama hivyo sawa.Hana pakuamzia
Triple A
mkuu ndio maana jamaa kasema anakusanya mtaji nadhani kwa hesabu za haraka kunavifaa vya ofisini kuna pango na mengine mengi....so nampa big up huyo jamaaIT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Kama anatokea nyumbani kwao je?kuna watu mnajua kukatisha watu tamaa kama mnajua.So upo tayari ashinde home kutizama TV na si kuchakarika??huyo keshaanza hatua.Baki mkimsubiri Anjela Kairuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap maana wengne safar wanaaziakama hivyo sawa.
kwa sababu tunaweza kumponda kumbe ndio safari yake inaanza hivyo
Sawa Brother.1. Nimekubali afanyacho,
2. Nimeuliza swali, sijui unajua maana ya "?"?
Acha povu dogo!
una maanisha kafungua kampuni ya kuchoma mahindi... akiwa na vijiwe kama mia hivi atakuwa na pesa nzuri... sana
Sidhani kama mtoa mada amefurahia graduate kuchoma mahindi. Alichotaka kutueleza ni kwamba tusione aibu kufanya kazi au biashara ndogo ambayo baadae itakuza mtaji kufanya kitu ukipendacho.Sasa unafikiri ni hicho ni kitu kizuri?
Kwahiyo hukuona huruma pia?
Wewe unacho taka ni picha au Habari?unataka picha ukashare kwenye Magroup ya Whatsap?Hivi kweli hii picha ndiyo inaakisi habari ya graduate kuchoma mahindi?
Angekuwa kafungua Bucha na anauza Nyama je? Ungesemaje?Usinge mention Fani yake Mahindi isingekua tatizo, lkn kwa fani aliyosomea hiyo kazi aimfai labda km angekua amesomea Agriculture kidogo ingemake sense. IT yake itakua kasomea Vyuo vya uchochoroni anashindwa hata kujiongeza hata kudownload Movie na kuzibani akazisambaza ameshindwa so sad.
Mind set unafikiri kufanyaje?.Usha wahi some histori za makumpuni makubwa yalivyo anza?Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tunasoma elimu ya kukremishwa(elimradi kufaulu mtihani) power of thinking and creativity hamna.
Hilo siyo jambo LA kusifu ni jambo LA kuombewa Mungu afungue mind set tufikiri sawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app