CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #161
Kwa nini asitekeleze? Shida zenu mnataja mtu aanze biashara January then December ikiwezakana anunue ndege.Huyo graduate anajitegemea mwenyewe kimaisha?
Anauza shilingi ngapi kwa siku?
Matumizi yake kwa siku ni shilingi ngapi?
Anabakia na shilingi ngapi kwa siku baada ya kutoa kiasi cha pesa anacho tumia kwa matumizi ya kawaida?
Kwa akiba hiyo kwa siku atakua na shilingi ngapi kwa wiki?
Je, anamipango mikubawa zaidi inayotegemea hiyo akiba kutoka kwenye mahindi?
Je, ataitekeleza hiyo mipango kweli kwa akiba hiyo?
tumpongeze/tumuonee huruma graduate mwenzetu.
Kama ni mimi ni Zambi? comment zako zinaonekana ni mweupe sana kichwani.Kuna uwezekano mkubwa sana huyo mtu ni wewe maana kama unasem atutakuja mpongeza maana yake huyo mtu anaweza kuwa ni wewe
Endelea kulelea na shemeji yako tu. nakutumwa then unajiona mjanja kumbe mjinga tu.Wewe na yeye wote mabwege tuu ! Kuna mchoma mahindi aliyetoka hapa Bongo !
Mkuu safi sana wale wanaojifanya wana CV watasubiri saanaUmeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.
By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?
Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?
Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?
Unajua kwa siku anaingiza how much?
UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina graduate wa B. Sci IT, kasoma kwa pesa yangu !Endelea kulelea na shemeji yako tu. nakutumwa then unajiona mjanja kumbe mjinga tu.
Watu kama nyie sijui mnaingia vipi ku coment humu. ila kuna Dawa yenu waite.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anajaribu kuwaaminisha watu kuwa huyu kaona fursa wakati hiyo si fursa, hapo kuna uwezekano huyo mwana IT hakuwa vizuri darasani au alifeli au hakuelewa nin anasomea
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Kazi ya kijungu jiko hiyo, mpaka serikali inapata hasara !Hivi kwa nini watu wanabeza kuchoma mahindi??au kwa jili MTU upo barabarani anapuliza moto.Tupige mahesabu jamani.Hapa ni pesa kama anapata na ziada na wewe wa ifisini unapata the same shida IPO wapi.After all wote hatuwezi kuwa Ofisini.Na mahindi wengi tunapenda kuyatafuna hence kipato kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hilo swala la kuchoma mahindi kajiongeza pia...ukipiga mahesabu ya mtaji wa mahindi na mtaji wa kufungua ofisi ya kutengeneza simu utachagua unapopaweza tu...[emoji535] [emoji535] [emoji535] [emoji111] [emoji111] [emoji111]IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Ni mbichi kabisa mkuu, nauza kwa bei ya jumla. Hata ukitaka kuamini unaweza nicheki whatsap 0768676277. Nipo tegeta nyuki stendi. Hiyo unayosema mpaka niulize kwa anaye nitumiaNi asali mbichi au iliyochemshwa? Hukuichakachua? Pia naweza kupata isiyokamuliwa ile iliyokuwa kwenye majumba ya Nyuki?
Sio maisha ni kazi na unaweza fika mbali kabisa na kumiliki mabasi yako mwenyewe one Day.Nipongezeni na mimi graduate lakini kondakta wa daladala.... Maisha yanatufanya tuweke usharo pembeni tupambane.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ni biashara kwa sababu anapata faida chochite kinacho kuingizia faida ni biashara fullu kabisaKwa upande wangu sioni kama ni tatizo endapo inamuingizia kipato kinachomtosha na anafahamu malengo yake.
Kuliko kukaa tu bora kuchoma mahindi.
Kutengeneza simu kunalipa kuliko kuchoma mahindi? Inawezekana kuwa hataki lawama maana mtu anakuletea simu ya 500k halafu inashindikana kutengemaa au ndio anaiharibu mazima.IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Njoo nikupeleke kwa jamaa angu ana Phd uone Kazi yake anayo fanya kama hujajiona Choo.La saba hatakiwi kufikiria kama graduate na kinyume chake !
Inawezekana anaingiza hela kubwa kwenye mahindi kuliko kutengeneza simu.IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?