Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

What happened to mwekezaji mpya from UAE? Nchi ya kipumbavu sana hii.
Cc Bufa
UKifuatilia huyo mwekezaji kutoka UAE ameongelewa toka mwka 2023. Au 2022.

Mimi huwa nahisi ni fix tuu tunapigwa.

Hivi karibuni walisema atakuja mwezi wa 8. Ila hakuna kitu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250821_104502_Chrome.jpg
    152.1 KB · Views: 18
Hili ndio tatizo la madereva wengi
Kushindilia Watu
Lawama hapo apewe huyo mama, hakutakiwa kupanda , dar hapa usafiri mgumu sana mida ya watu wengi, kuna wamama hata kugeuza na daladala hawataki -- hii ni changamoto , sasa fikiria huyo mama kaenda kuingia kwenye mwendokasi
 
Hata aje mweke
Hata aje mwekezaji toka mbinguni mwendokasi haitabadilika. Amini nakwambia
Mtu mweusi alistahili kuwa UTUMWANI huko
 
Ukiwa dar usafiri wa haraka na ambao hauna kero sana ni bodaboda, tatizo la bodaboda ni haina hadhi kwa baadhi ya watu pia ni hatari kifo nje nje
Aaah hizo bodaboda ni za kupanda njia za ndani ndani, binafsi kunipandisha boda au bajaj kwenye lami hapana. Nipo radhi kusubiri daladala hata nusu saa.
 
Aaah hizo bodaboda ni za kupanda njia za ndani ndani, binafsi kunipandisha boda au bajaj kwenye lami hapana. Nipo radhi kusubiri daladala hata nusu saa.
Huwa nasahau kabisa kama kuna daladala nashtukia tu nishapanda bajaji au boda
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Huyu atakuwa anakunywa smart alieleta madaa nilijua anasema tumemtandika Shanghaziii hawa watu wanafanya jf tuingi3 weekend
 
Ktk usafiri sitokuja kuutumia tena ni huo mwendokasi, ni heri nitembee kwa mguu, km usafiri mwingine imeshindikana,

Sitakii kusikia wala kuona hizo 🚍 za mwendokasi, mxxxiiiieeeeww!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…