Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

Uvivu tu, ferry mpaka mbezi pana umbali gani?
 
Hamna daladala nyingine za kupanda zaidi ya mwendokasi.
 
Ukitaka kujua nguvu ya mama gusa mtoto wake!
Nimpongeze huyo mama kwa ujasiri wake.
 
Walitakiwa wamtandike viboko mpaka wakina ChoiceVariable na chiembe walete magari mengine bila porojo.
 
Wanaume wa Dar 🀣🀣ni huzuni 😜
 
Vizuri sana... usiache kutumia fursa ya kupunguza hasira na stress..
 
Kwa Sasa usafir hivi, zidisha 2000 kwenye bajeti Yako ya usafir panda daladala mpaka shekilango, chukua pikipiki mpaka kibo 2,000, apite pembeni ya lami, ukifika hapo Ingia mwendokasi, sababu Kila gar ikitoka Ima Morocco au kkoo, au kivukoni inaanza kushusha hapo na unaondoka faster kabisa, vinginevyo ni majanga. Au panda daladala mpaka shekilango, hapo Bajaj ni Ima 2500, au 3000 mpaka mbezi, utazidisha 2500 ktk bajeti Yako ya kawaida, kuhusu usalama wa Bajaj ni wewe na Mola wako umuombe akufikishe salama.
 
Bado mkurugenzi wa mwendokasi anaambiwa anaupiga mwingi pamoja na changamoto zote
 
Kichanga cha MAZA.
 
Tena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.
Fikiri kabla ya kunena mkuu,sio wote wanamudu usafiri unaofikiria ungefaa kwa hicho kichanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…