Jana limetokea tukio la ugomvi wa dereva na mwanamke kwenye mwendokasi wameshikana mashati

Lawama hapo apewe huyo mama, hakutakiwa kupanda , dar hapa usafiri mgumu sana mida ya watu wengi, kuna wamama hata kugeuza na daladala hawataki -- hii ni changamoto , sasa fikiria huyo mama kaenda kuingia kwenye mwendokasi
Umaskini na duniani kote public transport ni mkombozi ,cha msingi serikali wangekuwa wanaona matatizo yao

Tatizo tunaongozwa na wajinga hata hawajui cha kufanya
 
Hatutakiwi kujenga jamii ya hivo serikali waboreshe mwendokasi hizo gharama unazozungumza watanzania wengi hawawezi
 
Nimepita mbezi mwisho kama ยฝ saa hivi, hiyo nyomi hapo ni hatari, ni ishara mbaya sana kwa mtu kuitwa kiongozi na watu wako wanateseka namna hii.
Na bado wanapiga makofi eti oooo anaupigamwingi mara oooo hakuna kama yeye. Yaani ni ujinga mtupu
 
Usafiri umekua changamoto sana kati ya Mbezi na Chalinze.
Hii barabara Morogoro road kuanzia Maili moja hadi Chalinze imekua na foleni ya kutisha na ikitokea kuna lorry limeharibika njiani ndio balaa.
Zamani tulikua tunatumia masaa mawili toka Mbezi hadi Chalinze, Leo hii si chini ya masaa matano.
Kibaya zaidi serikali haijali na malori mengi ni ya wale walioichangia CCM pale Mlimani siti.
The problem is there to stay.
Labda mpaka wamalize kununua baiskeli na pikipiki za wajumbe.
 
Umaskini na duniani kote public transport ni mkombozi ,cha msingi serikali wangekuwa wanaona matatizo yao

Tatizo tunaongozwa na wajinga hata hawajui cha kufanya
Hatari sana mkuu, usafiri ni mziki sana
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna siku tena wababa wazima nusu wazichape .

Tupo kibanda Cha mkaa kuelekea Mbezi,mmoja akawa anataka aaogee karibu na mlango,,anaomba kupita, Wakamwambia subiri utapita gari likisimama,wote sisi tunashuka.
Yeye akawapush

Mama weeee matusi yakaanza
Oh ntakutandika vibao,, mwenzie anajibu nitandike kama Mimi mikono nimeacha nyumbani ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Muda huo nimepumzika kwenye seat baada ya mziki wa kupanga foleni ya siti pale kivukoni.

....
Mwingine stop over asubuhi dereva alivyoona abiria wengi, ikabidi asimame kubeba kidogo..
Sasa akasema pandeni mwisho kwenye hiyo ngazo..pale mbele kunakuwa na kigeti fulani huwa kinazibwa...dereva hakutaka jam pale mbele..
Sasa yule Dada alipanda hakusikia lile tangazo,, dereva alivyofunga kile kigeti,waliozidi akawaambia washuke wakapande gari ingine ilikuwa ndio inafika.
Yule dada akamtukana Dereva unatushusha msenge wewe,,Dereva akamjibu msege babako mmmmmme๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
 
Mngemuua dereva. Cha moto mngekiona
 
Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Wanaume wa Dar hao ukiwaona barabarani wamevaa vibukta na vipensi huku lips na ngozi zinan'gaa unabaki unajiuliza wanajipaka Nini Hawa
 
Hapo wanaume wa dar utakuta walikua wana angalia tuu huku wakirekodi video
 
Mitano tena!! Na chura a.k.a Dalali anaupiga mwingi tu. Hana Habari na watanganyika wakati kwao Zenji wazee wanalipwa uzee wao. Nyie kufeni tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimepita mbezi mwisho kama ยฝ saa hivi, hiyo nyomi hapo ni hatari, ni ishara mbaya sana kwa mtu kuitwa kiongozi na watu wako wanateseka namna hii.

Kwani wanajari kiongozi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ