Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako
habari mchomokoMo , GSM , Bakhressa , Bandari, CCM , Kijana Mwanza , Baa kubwa, Kukwepa kodi miaka miwili.
Mwambie akaifunge TBL na SBL maana ndo wazalidhaji wakubwa wa pombe...!TRA wamesema hawahusiki na kufungiwa hiyo BAR.
NB: Sababu wanauza pombe wafungiwe tu
Uongo,sio Africa, Dunia nzima
hujui kinachomkuta Mmiliki wa Tweeter Elon Mask kwa kuwa tu ni Team Trump?
Afadhali. Maana wazushi ni wengi sana.Uongo,
Hakuna chochote kilichompata Elon Musk,
Na mwaka 2020 Elon Musk amesema alimpigia kura Joe Biden sio hata Trump.
Tuhuma? Yule Mwanyika alikiri kosa kabisa na akalipa fine ya billion 2 ila bado akapewa ubunge licha ya kukiri ufisadi. But Lowassa hakua amepelekwa mahakamani Wala kukiri ufisadi.Hata Lowassa alipochukua tu kadi ya Chadema, tuhuma za ufisadi zikaisha
π€π€π€π€π€π€Tukijipendekeza kwa chama dola kongwe kabla ya kufikia viwango vya GSM, MO, ASAS, BAKHRESA Group of Companies etc tutaishia kuwa matajiri-uchwara. Makampuni hayo makubwa yanaogopewa na serikali kwani ndiyo walipa kodi wakubwa tajwa.
Kwa maana hizi, ukiambiwa wewe ni tajiri uchwara petty bourgeoisie au Don nadie , maana yake utajiri wako bado haujafikia kiwango halisi cha kutambulikana. Wewe ni utaendelea kuwa tajiri wa chini atakaye filisika kabisa muda wowote ule.