Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

Mshauri tu aweze kufanya kazi kwa wakati ajue anajigawa vipi ila mambo ya kuangalia tamthilia nadhani ni suala lake binafsi.
Hayo ndo mambo mnayo danganywa naweka kichwa tu mwisho wa siku yoteee ajigawaje na tamthilia isha mgawa.
Jitahidi man wako asipendelee kama ana angalia sawa ila asipendelee zitamlegeza
 
Kama zamani hakuwa hivyo, inawezekana mwanamke kuna kitu amecheza ili mumewe asiwe anachepuka nje, bila kujua kwamba anaharibu uchumi wa nyumba
 
Mtu smart hawezi tazama tamthilia, hizo ni kwa ajili ya watoto na wanawake wasiojitambua
 
Maisha ndo haya haya. Zile tamthilia zinasaidia kuitoa akili kwenye mikaranganyiko ya kila siku. Ukigeuka hivi magharama ya maisha yamepanda, huku watu wanajinyonga kila saa. Chaa! Mwache afurahie bwana!
 
Kwahiyo ukaona utaje ushoga? Km lengo lilikua kusemea ushoga ungesema bila kuhusisha tamthilia hizo.

Maana ni vitu tófauti kabisaaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kabla ya kusoma uzi huwa nashuka fasta kwa comments mbili tatu za mwanzo..
Nashukuru sijapoteza muda wangu.
 
Hayo ndo mambo mnayo danganywa naweka kichwa tu mwisho wa siku yoteee ajigawaje na tamthilia isha mgawa.
Jitahidi man wako asipendelee kama ana angalia sawa ila asipendelee zitamlegeza
Mpenzi wangu haangalii kabisa hizi vitu na hata kama angekua anaangalia ni mapenzi yake siwez mkataza.
 
mh noma me ni mdada lkn siwezagi kuangalia izo mambo
 
Nijuunge mkono, ukishaanza kuangalia movie, mfululizo wake hutapenda uukose. Ndiyo mwanzo wa kuharibu mipango ya kazi hususani zile zitakazoingilia ratiba ya muda wa kipindi husika.

Hii ni sawa na kujihusisha na uchezaji wa kamari, mhusika hata asipokuwa na hela yuko radhi akakope na hata kuiba ilimradi apate hela akacheze kamari.

Games mbalimbali nazo ni urahibu mwingine. Mtu anaweza akae saa 3 au zaidi akicheza game huku ratiba ya kazi ikiharibika.

Vijana wanaodai hawana ajira ni wahanga wakubwa wa games na mambo kama hayo.

Kuna wanafunzi kuanzia shule ya msingi hadi sekondari wamefanya vibaya darasani kwa ajili ya kuzingatia movies, games na kamari za pesa.

Mungu atuamshe akili kwani kizazi hiki kimetekwa vibaya na utandawazi.
 
We Jamaa sio bure...Malalamiko na kichwa cha uzi ni viwili tofauti.
Pia hukupendezwa mwamba anavyo enjoy na penzi la shemeji yako.
Kama kweli ni bwabwa sidhan angekuwa na mkewe.
Kifupi haya ni makasiriko
Unadhani mabwabwa hayajaoa?
 
Mifala miangalia tamthilia ya kiume mingi ni mishoga.
FB_IMG_1662141167245.jpg
 
Staili ya uandishi wako kumhusu jamaa inachekesha sn.

Nilipoona kichwa cha habari nilidhani yupo taabani hatua za mwisho kwa ugonjwa usio na matibabu,Kumbe amekuwa mpenda series.

Jamaako kaamua kutokuwa serious na maisha plus too na sasa tumeletewa TRAT na TRAB, mwache tu ayafurahie maisha.
Anapenda tamthiliya za kitoto... Hazimkuzi akili. Anakuwa bwege sana
 
Nina bro mmoja tulikuwa tunakae nae ni mkubwa kwangu ana miaka 39 au 40 sasa huyu jamaa kipindi cha nyuma ana miaka ile ya kujipambania alikuwa ni mtu wa tamthilia sana 😥😥😥zile sijui la relevancha ,sijui maria Clara na the long wait zote anafuatilia na pale enzi zile sisi ikiisha mielekeza jumamosi hao tunaingia zetu kulala.

Naona huo umri ana watoto wakubwa wawili wako darasa la nne mwingine la kwanza ila jamaa anakaa kwao mpaka kesho yaani kapumbaaa yeye kuwa mbele mbele kweny shughuli kama harusi, sijui sendoff na kazi kachagua zile za urojo urojo kujifanya mtu wa mapambo ila anakaa kwao sema mzee ana pesa kidogo halafu ye ndo wa kwanza mdgo wake around 35 ana nyumba mbili ana mke na watoto Tena mkoani ila huyo kapumbaaa tangu kijana.

Kuna kipind wenzie walizamia akaambiwa akadai "je nilienda kufa' yaani muoga ila anapendwa na mother yake ni mzee yupo hai mpaka leo.
Umeona eeeh.... Yale matamthiliya ya kipumbavu yanafubaza akili...jamaa amekuwa bwege.....bwege mtozeni
 
Hayo ndo mambo mnayo danganywa naweka kichwa tu mwisho wa siku yoteee ajigawaje na tamthilia isha mgawa.
Jitahidi man wako asipendelee kama ana angalia sawa ila asipendelee zitamlegeza
Umesema kweli....
 
Back
Top Bottom