Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

Nilipoona title nilidhani jamaa yako ana ngoma...

Kifupi mwache na maisha yake, dunia itamfunza
 
Nimecheka sana. Sema wanaume wanaofuatilia hizo mambo huwa wajinga-wajinga sana.
 
Sikushangai ila ukishaoa ndio utajua raha ya kukaa na familia yako na kuangalia Tamthilia ni kama anawapa Company hivi
 
Hahahah

Smart119 huwa anasema hivi "mambo yake meachie mwenyewe usijiumize kichwa"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabu unapata wewe wenzako kazama Kaa mkOjani
 
Yani ni mambo ya aibu sana unaenda kweny nyumba ya watu alafu unabeba yaliomo na kuyaleta humu
Unaenda mbali zaid unasema rfk Ako amekua kama bwabwa mim naona ww ndo unatabia na mambo ya kibwabwa
Mbona unatokwa povu sehemu zote za mwili za wazi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona unatokwa povu sehemu zote za mwili za wazi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena lina sabuni ya kutosha sana sio kama povu lako ukitaka kufua takataka zako azitakati☺️
 
Tena lina sabuni ya kutosha sana sio kama povu lako ukitaka kufua takataka zako azitakati☺️
Lete basi nifulie .... Maana kila sehemu yako YA WAZI inatoa mapovu haya lete nimekaa pale 👉🤣🤣🤣
 
Lete basi nifulie .... Maana kila sehemu yako YA WAZI inatoa mapovu haya lete nimekaa pale 👉🤣🤣🤣
Ndio lkn ziko sealed zote sio kama zako hadi matundu ya pua yametanuliwa
Nishakuona mwambie na bwana Ako asogee karibu
 
Back
Top Bottom