Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

Agano jipya siyo kuondoa agano la kwanza:,
Ebr 8:13 SUV
[13] Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

[9] ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.

Au hauelewi Kiswahili, Aondoa la Kwanza kusudi.....
Kikuukuu kikaribu na kutoweka...
 
Ok kwahiyo unakunywa Pombe pia kwa mujibu wa Wakolosai 2:16

Unalielewaje hili andiko?

Waefeso 5:18
"Wala msilewe kwa divai, ambayo inazalisha uasherati, bali mjazeni kwa Roho."
Aya hii inakataza kulewa kwa divai, ikionyesha kuwa divai inazalisha uasherati na inahimiza watu kujazwa na Roho Mtakatifu badala ya pombe.
Mbona hujajibu swali wewe hunywi Pombe ili upate uzima wa milele?
 
Ebr 8:13 SUV
[13] Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

[9] ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.

Au hauelewi Kiswahili, Aondoa la Kwanza kusudi.....
Kikuukuu kikaribu na kutoweka...
Maandikohayasomwi kibubusa hivo

Waebrania 8:13 inasema kuwa agano jipya linakuja, na hilo linapofanyika, agano la kale linaonekana kuwa "la zamani" na "lililochakaa." Hata hivyo, hili halimaanishi kuwa amri za Mungu zimeondolewa. Agano jipya linajenga juu ya msingi wa sheria za Mungu, lakini linatufikisha kwa Kristo, ambaye alitimiza sheria zote. Yesu mwenyewe alisema, "Sitakuja kutengua Torati, bali kutimiza" (Mathayo 5:17). Hivyo, amri za Mungu zinakamilika kupitia Kristo, lakini sio kwamba zimeondolewa.
 
Ebr 8:13 SUV
[13] Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

[9] ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.

Au hauelewi Kiswahili, Aondoa la Kwanza kusudi.....
Kikuukuu kikaribu na kutoweka...
Msikilize Yesu hapa katika
Mathayo 5:19

19Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

MASWALI YANGU KWAKO

UNADHANI YESU NI MJINGA HAKUJUA AMRI ZIMEONDOLEWA HADI ATAMKE MANENO HAYA KWA WATU KAMA WEWE KUWA MTAITWA WADOGO KABISA KATIKA UFALME WA MUNGU?

JE YESU ALIPITIWA HAKUJUA AMRI ZITAONDOLEWA?
 
Kipindi hicho anaongea hayo zilikuwa bado hazijaondolewa. Yaani mazungumzo tuashum ya mwaka 30 AD usifanye kana kwamba yanazungumzwa Leo rudi kwenye miaka yao ndio utafasiri
 
Kwamba YESU alikuwa hajui mambo yajayo Hadi ataje mbinguni?

Yaani unamuona Yesu ni mbugila ?

Soma Tena hapa 👇

19Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni. Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
 
Kipindi hicho anaongea hayo zilikuwa bado hazijaondolewa. Yaani mazungumzo tuashum ya mwaka 30 AD usifanye kana kwamba yanazungumzwa Leo rudi kwenye miaka yao ndio utafasiri
MASWALI YANGU KWAKO

UNADHANI YESU NI MJINGA HAKUJUA AMRI ZIMEONDOLEWA HADI ATAMKE MANENO HAYA KWA WATU KAMA WEWE KUWA MTAITWA WADOGO KABISA KATIKA UFALME WA MUNGU?

JE YESU ALIPITIWA HAKUJUA AMRI ZITAONDOLEWA?
 
MASWALI YANGU KWAKO

UNADHANI YESU NI MJINGA HAKUJUA AMRI ZIMEONDOLEWA HADI ATAMKE MANENO HAYA KWA WATU KAMA WEWE KUWA MTAITWA WADOGO KABISA KATIKA UFALME WA MUNGU?

JE YESU ALIPITIWA HAKUJUA AMRI ZITAONDOLEWA?
Kwamba Ufalme wa Mungu unapatikana kwa kushika Sheria. Huo utakuwa ufalme wako siyo wa Mungu

Alikuwa anaongea na wajinga, angesema mambo makubwa zaidi ya hapo huwenda wangemuua mapema sana.

Yani Musa alituambiwa amri ndio Uzima wetu Leo wewe unalutea maneno gani, wale na akili zao wangesema hivi.
 
Back
Top Bottom