Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana

Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo rafiki ila nilipomwambia anipigie baadaye siko mazingira sahihi akalia,😢 nikaona nimsikilize

Katika kuongea naye kumbe hao watu wanasikiliza maongezi yetu. Yakawagusa wote ni maisha yao. Nilipokata simu mmoja mimi naitwa dada...na wewe unatwa nani kaka nikamwambia naitwa chaz😀 (huwa sipendi kuanza na neno Kaka Magical power) kwa mtu ambaye hanifahamu kwahiyo huwa naficha majina ya utambulisho sana ukianza na Kaka Magical power mtu ni rahisi kukufahamu ila naficha utambulisho full wa jina langu ili mtu awe huru kuongea 😀

Kumbe bana wale watu wana mapito yao sana huwa wanakuja pale kunywa na kula angalau kupunguza stress na kufarijiana. Mmoja ni single mom wa mtoto mmoja na mwingine ana watoto wawili. Niliongea nao MENGI sana kuhusu mapito yao na nikawaambia wao bado MALI SAFI kuzaa si sababu ya kupoteza uzuri wao kwasababu wakati mwingine wanazaa na wanaume wasiofaa kuwa waume kwahiyo wao si kwanza wala hawatakuwa wa mwisho kuzaa na wakaachwa au wakaachika kwenye ndoa

Niliongea nao sana wa changamoto ya kujutia kuliko kukubali kuanza upya na wanaishi kwenye MAUMIVU wasiyojua mwisho wake lini na wanajifariki kwa KUNYWA na KULA. Maumivu hayaondoki kwa kula na kunywa ndicho niliwaambia na nikawapa uhalisia na wakanielewa na sana. Walibarikiwa sana

Moja alizaa na mume wa mtu aliyekuwa anaishi mbali na familia yake. Alitoa mpaka posa wakaanza kuishi kumbe alikuwa mume wa mtu alipobaini hayo akaondoka na mimba ya miezi 6 na sasa mtoto ana miaka 5

Mmoja aliolewa na mwanaume wake tu wa ndoa kumbe huyo mwanaume alikuwa jambazi ila alikuwa anaenda huko migodini kama mtu wa madini kumbe alikuwa mwizi ila mke alijua mchimbaji madini na mwisho wake jamaa alitoweka mpaka leo baada ya kutaperi pesa mahala hajulikani alipo sasa ni mwaka wa 8 hakuna mawasiliano wala habari zake alipo

NILICHOJIFUNZA KWA HAWA DADA ZANGU

1.Watu wengi wenye changamoto wapo kwenye sehemu za starehe na makanisani. Si kila mtu aliyoko bar, beach au mahala penye starehe ana AMANI au furaha ila yuko hapo kutafuta faraja ila ana maumivu sana MOYONI mwake na wengine wanakimbilia kwenye eneo hilo kwa ajili ya kurefresh akili na kupata faraja

2. Kuna single mother wengi sana ni MALI SAFI wanatamani ndoa, mapito yao yamewafunza na wamekuwa imara sana. Kwanza hawanuko shida ndogondogo kabisa. Wapweke sana na hawataki kutumika hovyo kwasababu wana watoto tayari wanaogopa kuzaa nje ya utaratibu tena, wanataka mtu serious sana kwasababu wao wameshavuka kwenye maisha ya ujana na UGALATIA.

Wataka wawe mke kwa wanaume mwenye kujielewa ila wanaume wengi wanaowagopa kwasababu ya status zao yaani pesa na maisha waliyonayo wanahisi si watu wa level zao kwahiyo wanaogopa mke mwenye hela na pesa eti hawana heshima

3. Kuwa na pesa au kuwa huru si sababu ya mwanamke kuvaa hovyo, kwahiyo wale wadada walikuwa wamevaa vizuri mno kwa kujistiri sana hawakuwa watu kuvaa hovyo kama wanawake wengine wale WAGALATIA

4. Kabla mtu hajakaa meza ulipo huangalia sana mtu anakunywa nini au anaonekanaje ndipo waje. Waliambia wameamua kuja nilipo sababu nakunywa nilikuwa naonekana walivyosema wao siwezi kusema hapa (siri yangu) na meza yangu kulikuwa na nini (nilichokuwa natumia) kwahiyo muonekano wako na umeweka nini mezani huamua watu wa aina gani kukaa mezani pako ulipokaa😀.
 
1 na 2 nazipitia deeply...
 
Hizo stori walizokupa uzuri huna pa kwenda kubalansi kama ni za kweli. Hata jambazi ukimuuliza atakwambia anasingiziwa.

Ibaki tu kama ilivyo, wao ni singo maza, mengine ni stori tu. Ukiwaonea huruma jitwalie mmoja.
 
Back
Top Bottom