Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jifariji kwa kusema 'ONE DAY YES' !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jifariji kwa kusema 'ONE DAY YES' !!!
Tafuta helaKiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Yeah ngoja nikomae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] et kuclear jina daaah[emoji16][emoji16] Huko sirudi Tena wameshanikosa kudadeki, nitarudi nikiwa na uwezo wa kuchafua meza kama nyie sijui itakua lini lakini nitarudi ku-clear jina langu.
Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Kwani unapiga kavuNa UTI sugu
usivunjike moyo mdogo wangu,,wewe ndio mjanja!! hao waliokuwa wanakucheka ndio wajinga!!!!!Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Freemason 😁😁
Mambo ya kawaida sana...Hahaha...Pambana uwe stable financially kwanza
Kabeeeeeesa boss!Mambo ya kawaida sana...
Wahudumu wengi wa counters maeneo kama hayo huwa ni wapigaji coz wateja mara nyingi huwa hawaulizi bei ya kitu kulingana na u-class wa eneo so wame-take advantage hiyo na kuifanya sehemu yao ya kujiongezea kipatoPole xana, pia hongera kwa kukubali fedheha na aibu ili usave 4000 yako kuliko kupoteza ela yako ili tu ufiche aibu then badae kuanza kuijutia...kwa maisha ya mtanzania wa hali ya chini kununua maji kwa 4000 ni ukichaa wakati hiyo ela unapata chapati 10 na kikombe cha chai kwa mama lishe, pia hao uliowakuta huko sio wote wanaishi maisha yao halisi wengi tu wanafake maisha so wasikutishe sana!
Nimecheka Sijui kwa nn??Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Liquor stores zimekuwa mkombozi wa wanywajiHuyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000