mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Mi nikiendaga bar nikijiona hela ya mawazo afu nataka v i p nachukua zangu bapa za elfu 10 tatu natia mfukon nikifika pale naagiza maji ya buku tano afu naweka bapa mezan ukiuliza hizo bapa hapo ndan chupa ni elfu 70 vitatu sawa na laki mbili na ushee bas wana wananiona done kumbe nimetokanazo kitaa kwa buku 30 kauli mbiu yangu ni .2024 maisha ni kujiongeza'